Video: Ni Askari hawa mnaotaka tuwaonee huruma?

Hii kitu mbaya sana, naona hao watu washachoka na wanaonekana wako tayari kwa lolote

Serikali ingeunda kitengo maalum kinachojitegemea kupokea malalamiko

Dhuluma, yanayofanyika na police

Malalamiko yote yapelekwe huko

ova
Em waza mtu katoka mbali kuutafta huo mkaa lkn wao wanataka wakikuona wapate pesa yako tu kwa kusismama barabarani. Yani natamani wangemjeruhi abakiwe na kumbukumbu
 
Hii kitu mbaya sana, naona hao watu washachoka na wanaonekana wako tayari kwa lolote

Serikali ingeunda kitengo maalum kinachojitegemea kupokea malalamiko

Dhuluma, yanayofanyika na police

Malalamiko yote yapelekwe huko

ova
Yaap ushauri mzuri huu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom