Uchaguzi 2020 Video: Mwangalie Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Uchaguzi (NEC) kisha toa maoni yako

Naamini ni muda sasa wa kudai rasimu ya katiba ya Warioba. Bila kufanya hivyo tutakuwa tunapoteza muda na resources bila sababu ya msingi. Kwa tume iliyopo upinzani kutangazwa washindi ni ndoto za Alinacha.
 
mtanzania mwenye akili timamu hawezi kwenda kupiga kura kwa tume ambayo 100% ni wateule wa rais ambaye pia ni mgombea,MWENDAWAZIMU pekee ndiye anayeweza kwenda kupiga kura

Kwa hatua ya uchaguzi ilipofikia haitakiwi kukata tamaa na hakuna kususia kupiga kura... Huko Ni kumpa adui ushindi... Hizo zichukue Kama changamoto...
 
Miaka yote nimewaambia wapinzani, piganieni tume huru. Bila tume huru ni kutwanga maji kwenye kinu tu. Yaani hata baada ya kituko cha Jecha, bado wapinzani waliridhika tu! Wakatulia kimya mpaka leo 2020!
Ni rahisi kuwaambia wapinzani wapiganie tume huru, ila ni ngumu kiutekelezaji.

Halafu tume huru na katiba sio issue ya kupiganiwa na wapinzani, hiyo ni issue ya watanzania wote
 
Duh! Kumbe huyu mkurugenzi wa NEC ni mjinga kiasi hiki!!! Hata mtu mwenye dhamira mbaya lakini mwenye akili, hawezi kunema hivi.
Huyu ni mjinga mwenye dhamira mbaya.
Kumwita mjinga unampa sifa asiyostahili. Mjinga hujifunza lakini huyu hata umfundishe vipi ni kazi bure kwa sababu yeye anaamini anajua (si naye ni Dr.?) kumbe hajui. Anayeamini anajua kumbe hajui si mjinga, yuko kwenye ngazi ya peke yake...heri hata mjinga. Katika awamu hii hiyo ni sifa tosha.
 
Hahahahaha..... slavery mentality kama mgombea urais wa saccos ya Chadema!!
Unakalia chanda we kunguru wa kijani manina we alicho kiongeapo waona kuna tume huru hapo acha umaku nyie ngojeni siku yenu ifike
 
Back
Top Bottom