Uchaguzi 2020 Video: Mwangalie Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Uchaguzi (NEC) kisha toa maoni yako

Wapwa,

Sina mengi, hii ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa.

Ruge aliwahi kusema: "Ogopa Mungu na Teknolojia"

Toa maoni

Baada ya tarehe 28 October, huyu bwana atakuwa Mtanzania wa kwanza kupokea summons kwenda "The Hague" . Robert Amsterdam tayari anayo hii video tayari.
 
Looooooh .............hapa naona Refa, kesha vaa jazi ya timu mmoja, haya hata mbele ya VAR atakubali BAO tu:oops::oops::oops:
 
Is his surname MAHELA or MAHERA? BEFITS none. As for the PhD... even his appointer is synonyms with similar propensity .... VPID
 
Back
Top Bottom