Uchaguzi 2020 Video: Mwangalie Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Uchaguzi (NEC) kisha toa maoni yako

Jk12

JF-Expert Member
Feb 24, 2019
692
1,000
Atatangaza tuu ...mwaka huu hakuna janjajanja tena
Ongezea nyama mkuu.kuna bandiko lako la kuhusu ROMA MKATOLIKI NA WENZAKE kwenda STATE, KILA NIKIONA POST YA ROMA INSTAGRAM NAKUMBUKA ILE POST YAKO YA JF. why unasema hakuna janjajanja?
 

Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
10,991
2,000
Wapwa
Sina mengi, Hi ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa

Ruge aliwahi kusema
"Ogopa Mungu na Teknolojia"

Toa maoni

View attachment 1564550
Baada ya uchaguzi kama wakifanya kinyume na matakwa ya wananchi , huyu kichwa chogo awe wa kwanza kukimbia nchi. Maana bongo patakuwa sio mahali salama tena kwake na kwa familia yake.
 

Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
10,991
2,000
Miaka yote nimewaambia wapinzani, piganieni tume huru. Bila tume huru ni kutwanga maji kwenye kinu tu. Yaani hata baada ya kituko cha Jecha, bado wapinzani waliridhika tu! Wakatulia kimya mpaka leo 2020!
Uwepo wa tume huru sio kwa faida ya wapinzani tu, mwananchi yoyote mwenye akili timamu na kujielewa anatakiwa kupigania uwepo wa tume huru.
 

Encryption

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
665
1,000
Mkuu,
kwanza naomba ufahamu mambo mawili ya muhimu sana kuhusu Tanzania
1. lazima ushabikoe Timu moja ya mpira kati ya Simba au Yanga
2. Lazima ushabikie Chama Tawala au upinzani

Kila Mtanzania anachama ambacho anakikubali so huwezi mpaka Mtanzania ambaye hana Chembe za hivyo vitu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom