The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,840
- 18,668
damu mumwage nyie halafu lawama tupate sisi! punde si punde mtaumbuka na ni lazima muipate fresh mwaka huu. haiwezekani chama kinalea magaidi, mnapoteza maisha ya watu na wengine wanabaki vilema halafu tuwachekelee tu. tutapambana humu jf na polisi watapambana nanyi huko nje
mkuu hawa wanafiki wanawafanya watu hawanaakili vitu walivyoonesha hapo haviendani na uhalisia hata kidogo sijui wanamdanganya nani.
Tumekuwa tukihoji hapa kwa nini watoto wadogo wanakuwa kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa. Is it worth?
Maana katika sehemu za mikusanyikao mikubwa kama hiyi, watoto wako kwenye hatari zaidi hasa kukitokea purukushani ya aina hiyo.
Hata hivyo, aliyetupa hilo bomu, akimwona huyo mtoto alivyoumia sijui atasemaje?
Dhumuni lake hasa lilikuwa ni kumdhuru mtoto kama huyo?
kaka ben tunashukuru kwa awamu hii ya kwanza ya hii video, inasikitisha sana, nimejisikia huzuni moyoni mwangu kuona hao watu wasiokuwa na hatia. haiingii akilini wanaosema kuwa mlipuko huu umesababishwa na cdm yenyewe. mungu atawaumbua tu hawa wadhalimu wa hili tukio.
It would be better If you could mind your bizz rather than kutafuta wanaume humu JF.. Next time dont comment on my issues, katafute Nape ameongea nini ndio uka komenti huko, pussy mkubwa wewe....
Ni lazima sasa watanzania tukomeshe unyama huu!
Limetupwa na shetani,kwa vile ndiyo kazi yake kuangamiza hawezi kuwa na moyo wa huruma!Tunamlilia Mungu awalipe kwa kadri ya uovu wao ili wasijione washindi hapa duniani!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
sio kwenye mabomu tu!mpaka kuwekeana sumu na kujaribu kuuana lazima tuvikomesheNi lazima sasa watanzania tukomeshe unyama huu!
watoto walitoka Madrasa au hujafuatilia mchakato mzima.
mhh! nikwanini watanzania tunafanyiana unyama kiasi hiki?
Ben Saanane mbona hutuwekei video yako ya jaribio la kumlisha sumu Zitto kabwe????
Anao Juliana, Mtela, na masalia wengine wambie wakupe nakala.Ben Saanane mbona hutuwekei video yako ya jaribio la kumlisha sumu Zitto kabwe????