MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,139
- 3,228
Na hasa kwenye kutafsiri alipokuwa anaongea rais wa South.
Kuna muda Rais wa South anasema kwemye kikao cha SADC kilichofanyika Tanzania, departed President John Magufuli ndio alikuwa chairman. Ila mkalimani akatwambia eti "Kiongozi aliyetoka baadae ndio alimpa Magufuli kijiti" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wale itakuwa hamna kitu pia. Ila kwavile hatuelewi, thats y wanavimbaKiukweli hata wale wa kwenye Tv, wanaotafsiri kwa ishara nina wasiwasi nao sana aisee.
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Mkalimani asamehewe kikubwa JIWE kaenda na rais sasa ni mama Samia. Tuendelee kumuombea.Muda huo huo baada ya kuona watu wamereact tofauti uwanjani.
Genius!Nimehisi hivyo pia. Yaani sio kwamba jamaa hakusikia vizuri au hakuelewa, ila alihisi kilichosemwa na Rais Ramaphosa ni kama kilikuwa negative kwa JPM (kwa mtazamo wake), akaamua 'ayeyushe' kwa kuweka maneno yake.
Yale maneno aliyoongea aliyatoa wapi?Yule jamaa ni mtu ambae alikuwa karibu na hayati, yule ni mwajiriwa wa mjengoni pale pale so huwezi jua ukaribu wake na hayati...ibaki tu kusema alikuwa ktk simanzi bac kodogo akateleza
Kazi Kubwa Sana Utakuta Ana MastersHiyo ndio Cult ya Magufuli watu wanasifia na kudanganyana hadharani
Mungu ametuepushia
Sio kwamba ni Bogus ni kwamba wanaendeleza ibada yao kwa BinadamuKazi Kubwa Sana Utakuta Ana Masters
😏😏🙄😶
KusifuSio kwamba ni Bogus ni kwamba wanaendeleza ibada yao kwa Binadamu
Kumbuka mtafsiri alikuwa ktk hali ya simanzi so kupoteza concentration ni kawaida
Duuh!!Ni zaidi ya matango poli🌭🌭🌭Huyu mwamba nadhani alijua watu wako kwenye majonzi wasingesikia.View attachment 1731804
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Mkalimani aliposema MANENO HAYO niliona aibu Mimi wakuuNa hasa kwenye kutafsiri alipokuwa anaongea rais wa South.
Kuna muda Rais wa South anasema kwemye kikao cha SADC kilichofanyika Tanzania, departed President John Magufuli ndio alikuwa chairman. Ila mkalimani akatwambia eti "Kiongozi aliyetoka baadae ndio alimpa Magufuli kijiti" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kumbe ulimsikia na wewe? Jamaa kavu sanaMkalimani aliposema MANENO HAYO niliona aibu Mimi wakuu