mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 6,642
- 4,945
Tumemchoka jamani, hivi kwanini asinyongwe tu?
Hatari sana.Yule mnyaturu wa full time security Magufuli na Makonda walimchukulia mabilion yake kwa nguvu hadi jamaa akabaki hana kitu na stroke kumshika na kulazwa hospitalin mda mrefu. Isingekuwa ndugu zake nje kumtumia hela za matibabu na chakula angeshakufa. Na si yeye wengi tu.
Halafu eti anaitwa shujaa sijui SRG sijui bwawa la nyerere.
Shetani endelea kuongeza kuni na kuchochea moto
Labda aupate huo urais kwenye ndoto. Pamoja na ujinga wa watanzania, Bashite kuja kuwa rais halitawezekana.Nadhani GSM kama wana akili waache kucheza michezo ya wanasiasa. Hakuna aliyejua Nape atakuja kuwa Waziri karibuni.
Makonda anaweza kuja kuwa Rais au Waziri na mwenye ma mlaka ndipo utakapoona GSM wanakimbia nchi.
Kwa vile kuna watu wengi hujiita "the king maker" kama madada wanavyo jiita "the boss lady", kama the king maker unayemzunguzia ni huyu, HAPA!kama huyo jamaa aliwahi kucheza kijinga na "The King Maker", ujuwe maisha yake yapo mashakani mpaka aingie kaburini mmoja wao.
Meaning the stink between your legs?You sound like a queefing vagina.
Look at you! You’re up early this Saturday morning!Meaning the stink between your legs?
Lisilowezekana kwa binadamu kwa Mungu linawezekana!Labda aupate huo urais kwenye ndoto. Pamoja na ujinga wa watanzania, Bashite kuja kuwa rais halitawezekana.
Did you remember to wash your snatch this morning?Look at you! You’re up early this Saturday morning!
You must have gotten a pounding last night 🤣.
Did you top him this morning?Did you remember to wash your snatch this morning?
Kubali akili kubadilika kulingana na mazingira, hiko kiwanja bashite alinunua toka 2013 na wote karibu hao wanajua na sisi tunajua kutokana na ukaribu walio nao kipindi hiko.
Naa aliyemsaidia bashite kupata kiwanja kutoka kwa GSM ni huyohuyo dogo ambae sasa hivi hawaelewani kwa sababu zao za kimaslahi na kugeukana.
Hii kusema ni fake document achana nayo. Msiwe mnabisha hata kwa vitu ambavyo walio karibu huko wanajua
Ushauri tu, usijenge chuki
Angalia hiyo document ya makonda ya 2013 muhuru umepigwa chini ya picha umeshaona wapi legal document muhuru unapigwa ndo inawekwa picha acha ushabiki, ndo GSM wameenda kuchukua Chao wanauhalika makonda Hana evidence
View attachment 2147040
Ni mtu ambae haoni mbali na mbaya Zaid kazoe vya kunyonga na tabia yake halisi hata uko ccm wameshaijua ndo maana inakua ngumu kumsaidia tuishi na watu vizuri hatujui kesho yetuWalimtengeneza bila kujua na hiyo tarehe wamebackdate itakua kwa makubaliano yao wenyewe sahizi hana chake itakua hiyo mihuri nae kaja kugundua jana sidhani kama bd ataendelea kudai
Hii nchi hakuna wa kuhurumiwa. WauwaneMwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga.
Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika kwa vile Jiwe hakumtuma Bashite.
View attachment 2145146
View attachment 2145147
Ni Makonda kwa maelekezo ya MagufuliTuambie wewe ni nani alimuua ben ? Tupe ushahidi.
Ushahidi? Hata mimi naweza kusema ni mbowe na lema walimuua ben.Ni Makonda kwa maelekezo ya Magufuli
Ushahidi siyo shida, anzisheni kesi kama mliyoanzisha kwa Ole Sabaya mtashangaa ushahidiHiyo ni minong'ono ya mtaani tu. Unaweza kuweka ushahidi mbele ya hakimu mahakamani kama ukitakiwa kufanya hivyo?.
Makonda sio wa kulia liaa hivi aiseee... Daah maisha haya inabdi tuishi vizuri na watu leo bashite msaada wake labda Samia kama watu wanavyosema ila hawezi ongea hata na kiongozi wa ccm kwa ambao wana nguvu kwa sasa amsaidie yani anatia huruma sana dhuluma zinamrudia