Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Yule mnyaturu wa full time security Magufuli na Makonda walimchukulia mabilion yake kwa nguvu hadi jamaa akabaki hana kitu na stroke kumshika na kulazwa hospitalin mda mrefu. Isingekuwa ndugu zake nje kumtumia hela za matibabu na chakula angeshakufa. Na si yeye wengi tu.

Halafu eti anaitwa shujaa sijui SRG sijui bwawa la nyerere.

Shetani endelea kuongeza kuni na kuchochea moto
Hatari sana.
 
Nadhani GSM kama wana akili waache kucheza michezo ya wanasiasa. Hakuna aliyejua Nape atakuja kuwa Waziri karibuni.

Makonda anaweza kuja kuwa Rais au Waziri na mwenye ma mlaka ndipo utakapoona GSM wanakimbia nchi.
Labda aupate huo urais kwenye ndoto. Pamoja na ujinga wa watanzania, Bashite kuja kuwa rais halitawezekana.
 
kama huyo jamaa aliwahi kucheza kijinga na "The King Maker", ujuwe maisha yake yapo mashakani mpaka aingie kaburini mmoja wao.
Kwa vile kuna watu wengi hujiita "the king maker" kama madada wanavyo jiita "the boss lady", kama the king maker unayemzunguzia ni huyu, HAPA!

Then watu wake wakaribu wamshauri mapema, kijana akaangukie kwa the king maker mapema before it's too late!.

Tena hili la kupeleka watu kaburini,umenikumbusha kitu, usikute ni huyu, ndiye aliyetupelekea yule Blaza wangu, ili to make the current king!.
Kuna kitu nilikisema HAPA! kwa kujisemea tuu kama utani, kumbe inaweza kuwa kweli!

Sasa nikipafikiria pale mahali Blaza wangu alipo sasa, kiukweli huyu dogo asaidiwe ASAP vinginevyo...
P
 
Labda aupate huo urais kwenye ndoto. Pamoja na ujinga wa watanzania, Bashite kuja kuwa rais halitawezekana.
Lisilowezekana kwa binadamu kwa Mungu linawezekana!
P
 
Kubali akili kubadilika kulingana na mazingira, hiko kiwanja bashite alinunua toka 2013 na wote karibu hao wanajua na sisi tunajua kutokana na ukaribu walio nao kipindi hiko.
Naa aliyemsaidia bashite kupata kiwanja kutoka kwa GSM ni huyohuyo dogo ambae sasa hivi hawaelewani kwa sababu zao za kimaslahi na kugeukana.
Hii kusema ni fake document achana nayo. Msiwe mnabisha hata kwa vitu ambavyo walio karibu huko wanajua

Ushauri tu, usijenge chuki

Hizo tarehe zinaonekana kabisaa ni backdate ..
Makonda miaka hiyo hata UDC hana kiwanja apewe kwa sbb gani? Na karatasi za mauziano zinaseme kanunua kwa milioni 120 kiufupi makonda kapigwa hata picha zile mihuri iko chini picha juu walimtengeneza bila mwenyewe kujua..
 
Angalia hiyo document ya makonda ya 2013 muhuru umepigwa chini ya picha umeshaona wapi legal document muhuru unapigwa ndo inawekwa picha acha ushabiki, ndo GSM wameenda kuchukua Chao wanauhalika makonda Hana evidence

View attachment 2147040

Walimtengeneza bila kujua na hiyo tarehe wamebackdate itakua kwa makubaliano yao wenyewe sahizi hana chake itakua hiyo mihuri nae kaja kugundua jana sidhani kama bd ataendelea kudai
 
Walimtengeneza bila kujua na hiyo tarehe wamebackdate itakua kwa makubaliano yao wenyewe sahizi hana chake itakua hiyo mihuri nae kaja kugundua jana sidhani kama bd ataendelea kudai
Ni mtu ambae haoni mbali na mbaya Zaid kazoe vya kunyonga na tabia yake halisi hata uko ccm wameshaijua ndo maana inakua ngumu kumsaidia tuishi na watu vizuri hatujui kesho yetu
 
Mwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga.

Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika kwa vile Jiwe hakumtuma Bashite.

View attachment 2145146
View attachment 2145147
Hii nchi hakuna wa kuhurumiwa. Wauwane
 
Mimi nadhani Makonda kufanya hii 2013 ili kuonesha kuwa hakumiliki ardhi hii wakati akiwa mkuu wa mkoa kuepuka na dhana labda alipora lakini kama ni issue kuanzia 2013 kweli leo 2022 watu walikuwa kimyaa. Ni wakati wa Gharib kuongea ukweli upande wake hii issue imekaaje? je ni kweli ile ni signature yake? na je ni kweli aliuza eneo mwaka 2013? mwaka 2013 ni muhimu sana au je ali sign kwa nguvu siku za karibuni kwa kushurutishwa? Hili jambo serious na sio kwa sababu Makonda tu huko ardhi wanafanya mangapi kama haya. Mimi kwa maoni yangu kuna uganganyifu maana kama GSM aliuza kweli sioni sababu ya kudai lakini hapa tunataka kujuwa 2013-2022 nani alikuwa anamiliki nini kimetokea katikati hapa.
 
Suluhisho ni kurejesha mali za wenyewe na kuomba msamaha hadharani!
Tulisha'ga' andika angalizo humu...
Makonda sio wa kulia liaa hivi aiseee... Daah maisha haya inabdi tuishi vizuri na watu leo bashite msaada wake labda Samia kama watu wanavyosema ila hawezi ongea hata na kiongozi wa ccm kwa ambao wana nguvu kwa sasa amsaidie yani anatia huruma sana dhuluma zinamrudia
 
Back
Top Bottom