Tundu Lissu amtembelea James Lembeli nyumbani kwake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,513
Reaction score
283,982
Taarifa ikufikie Popote ulipo Kwamba , Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu , amefika nyumbani kwa Mzee James Lembeli , ambapo lengo la ziara hiyo ya ghafla bado halijajulikana

Na wala Haijulikani kilichotetwa na Wanasiasa hao Wawili , Bali ifahamike tu kwamba wamekutana na kuteta mawili matatu

Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa Jf

FB_IMG_1693224690650.jpg
 
View attachment 2731470
Watu wenye heshima zao
 
Mzee James Lembeli anampenda sana Mamaake. Nakumbuka hapo kwake kulikuwa na sherehe baada ya Uchaguzi Mkuu alipogombea kupitia Chadema akasema anatoka Chadema. Mamaake akamwambia, useme kabisa unaenda chama gani. Naye akajibu, narudi CCM, Mama! Mtu safi sana huyu Mzee James Lembeli!
 
Mzee James Lembeli anampenda sana Mamaake. Nakumbuka hapo kwake kilikuwa na sherehe baada ya Uchaguzi Mkuu alipogombea kupitia Chadema akasema anatoka Chadema. Mamaake akamwambia, useme kabisa unaenda chama gani. Naye akajibu, narudia CCM, Mama! Mtu safi sana huyu Mzee James Lembeli!
Hadithi yako inamaanisha nini ?
 
Taarifa ikufikie Popote ulipo Kwamba , Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu , amefika nyumbani kwa Mzee James Lembeli , ambapo lengo la ziara hiyo ya ghafla bado halijajulikana

Na wala Haijulikani kilichotetwa na Wanasiasa hao Wawili , Bali ifahamike tu kwamba wamekutana na kuteta mawili matatu

Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa Jf

View attachment 2731470
Heer kumbe Lembeli ana nyumba ? Maana ànashinda guest tu humu mitaanii...Basi sawaaaa
 
Mzee wa nyeti za kuku. Aliwahisema ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo upulize. Na wakati ule upepo ndio ilikuwa Chadema. Mzee alikuwa mwakikishi mzuri Sana pamoja na mwenzake Seleliii, sijui naishia wapi. Walikiwa wabunge machachari sana

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
Ni kweli
 
Taarifa ikufikie Popote ulipo Kwamba , Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu , amefika nyumbani kwa Mzee James Lembeli , ambapo lengo la ziara hiyo ya ghafla bado halijajulikana

Na wala Haijulikani kilichotetwa na Wanasiasa hao Wawili , Bali ifahamike tu kwamba wamekutana na kuteta mawili matatu

Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa Jf

View attachment 2731470
Aliyekatwa mkia
 
Mzee wa nyeti za kuku. Aliwahisema ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo upulize. Na wakati ule upepo ndio ilikuwa Chadema. Mzee alikuwa mwakikishi mzuri Sana pamoja na mwenzake Seleliii, sijui naishia wapi. Walikiwa wabunge machachari sana

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
Heheheee
 
Back
Top Bottom