#COVID19 Video: Maelezo ya kina ya Daktari wa Tiba za asili juu ya Chanjo ya Corona. Je, kuna ukweli wowote?

Kwa mawazo yangu ninaweza ndiyo, na hoja zake zote jibu ni kwamba chanjo bado ni hiari, hivyo bado kila mtu ana muda wa kuamua juu ya chanjo, ikifika muda chanjo ni lazima tutaangalia faida na madhara, kama zina madhara na ni lazima kuchoma tutachoma na kama zina madhara ila sio lazima hatutachoma.
Hajasema kwamba chanjo si hiari, hiyo sio hoja yake. Jibu hoja zake
 
Back
Top Bottom