Video: Kauli ya mwanachama huyu wa Chama Cha Mapinduzi inazidi kuwachanganya Watanzania

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
6,885
12,325
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.

Kwa muda wa miaka mingi kumekuwa na tuhuma nyingi zinazomuhusu huyu jamaa. Wengi wakidai kwamba mwanachama huyu ni jasusi maalum ambae yuko katika kiti kile kwa sababu maalum.

Moja kati ya sababu kadhaa zinazofanya watu wawe na uhakika kuwa jamaa ni jasusi maalum ni lile picha alilolicheza mwaka 2015, ambalo baadae lilikuja kuleta matokeo chanya kwa chama tawala.

Sababu nyingine ambayo imenifanya niandike hivi ni kitendo cha mwanachama huyo kutoa kauli tata katika mazingira ambayo watu wengi hawakuyategemea, na kujiuliza inakuaje jasusi huyo aanze kutoa siri mapema kiasi kile na kuleta mtafaruku mkubwa kwa wanaomuamini.

Je, kulikuwa na sababu gani ya kujitapa mbele ya watu kwamba yeye ni mwanachama wa CCM? Inamaana ameshajiona ana nguvu kiasi kwamba anaweza kuongea lolote, wakati wowote na asifanywe chochote!!

Ama kweli dunia hadaa na walimwengu ndio mashujaa.

Sababu nyingine ambayo imenifanya niandike hivi ni kitendo cha mwanachama huyo kutoa kauli tata katika mazingira ambayo watu wengi hawakuyategemea, na kujiuliza inakuaje jasusi huyo aanze kutoa siri mapema kiasi kile na kuleta mtafaruku mkubwa kwa wanaomuamini. Je kulikuwa na sababu gani ya kujitapa mbele ya watu kwamba yeye ni mwanachama wa CCM? Inamaana ameshajiona ana nguvu kiasi kwamba anaweza kuongea lolote, wakati wowote na asifanywe chochote!!

Ama kweli dunia hadaa na walimwengu ndio mashujaa.
Huyu siyo mwanachama wa CCM. Amevurugwa na mipombe tu!!
 
Hapo kachapia tu ila hoja ni kwamba tusichukiane sababu ya vyama maana wote adui wetu ni umasikini.

2. Usitake kuwafanya TISS waonekane Wana akili hivyo, yaani wawe na akili ya kupandikiza mwenyekiti wa chama kikuu Cha upinzani? Hawa Hawa ambao walishindwa kumgundua Jihad John wa ISIS pale JKNIA?

3. Then CCM haijawahi tegemea kupandikiza wagombea Ili kushinda Urais, wao wanaiba masanduku whether anayegombea ni pandikizi au mpinzani halali!! So msitafute kichaka Cha kuficha wizi wenu wa kura.
 
Anaweza kuwa sio TISS lkn akawa informer anaechukua taarifa za wapinzani wa kweli na kuzituma kwa hao jamaa wafanye yao. Yaliomkuta Lisu 2017 na hii ya juzi kutoka nduki sio jambo la kawaida, kuna kitu kakishtukia ambacho nyinyi chawa mnaomezeshwa maneno hamkijui.

Huyu ni mpinzani aina ya kina Zito, Lipumba, Cheyo nk ndomaana wanadunda tu nchini na vijikesi vyao vya kuuhadaa umma na wachama wao.
 
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.

Kwa muda wa miaka mingi kumekuwa na tuhuma nyingi zinazomuhusu huyu jamaa. Wengi wakidai kwamba mwanachama huyu ni jasusi maalum ambae yuko katika kiti kile kwa sababu maalum.

Moja kati ya sababu kadhaa zinazofanya watu wawe na uhakika kuwa jamaa ni jasusi maalum ni lile picha alilolicheza mwaka 2015, ambalo baadae lilikuja kuleta matokeo chanya kwa chama tawala.

Sababu nyingine ambayo imenifanya niandike hivi ni kitendo cha mwanachama huyo kutoa kauli tata katika mazingira ambayo watu wengi hawakuyategemea, na kujiuliza inakuaje jasusi huyo aanze kutoa siri mapema kiasi kile na kuleta mtafaruku mkubwa kwa wanaomuamini.

Je, kulikuwa na sababu gani ya kujitapa mbele ya watu kwamba yeye ni mwanachama wa CCM? Inamaana ameshajiona ana nguvu kiasi kwamba anaweza kuongea lolote, wakati wowote na asifanywe chochote!!

Ama kweli dunia hadaa na walimwengu ndio mashujaa.

View attachment 2528726
Konyagi ni mbaya sana yaani anachoongea mm sijaelewa wauza konyagi watatusaidia
 
Pombe haimfanyi mtu kutamka kitu ambacho hakipo. Pombe inamfanya mtu aseme mambo yaliyopo lakini ambayo hakutakiwa kuyasema au ambayo hawezi kamwe kuyasema akiwa sobber. Hicho alichotamka mbowe hapo ndio ukweli halisi wa moyo wake na umemponyoka kwasababu ya mtungi
Asante mkuu kwa kunisaidia kujibu. Kimtokacho mtu mdomoni mwake ndio hicho hicho kilichopo akilini na moyoni mwake.
 
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.

Kwa muda wa miaka mingi kumekuwa na tuhuma nyingi zinazomuhusu huyu jamaa. Wengi wakidai kwamba mwanachama huyu ni jasusi maalum ambae yuko katika kiti kile kwa sababu maalum.

Moja kati ya sababu kadhaa zinazofanya watu wawe na uhakika kuwa jamaa ni jasusi maalum ni lile picha alilolicheza mwaka 2015, ambalo baadae lilikuja kuleta matokeo chanya kwa chama tawala.

Sababu nyingine ambayo imenifanya niandike hivi ni kitendo cha mwanachama huyo kutoa kauli tata katika mazingira ambayo watu wengi hawakuyategemea, na kujiuliza inakuaje jasusi huyo aanze kutoa siri mapema kiasi kile na kuleta mtafaruku mkubwa kwa wanaomuamini.

Je, kulikuwa na sababu gani ya kujitapa mbele ya watu kwamba yeye ni mwanachama wa CCM? Inamaana ameshajiona ana nguvu kiasi kwamba anaweza kuongea lolote, wakati wowote na asifanywe chochote!!

Ama kweli dunia hadaa na walimwengu ndio mashujaa.

View attachment 2528726
Wee jamaa post zako huwa zinanifurahisha sana 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom