Video: Je, Hayati Magufuli Alistukia Mchezo na Uchochoro wa Kusajili Meli Tanzania Ambazo Zinakamatwa na Matukio Tata?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
79,080
Reaction score
84,965
My Take
Hakuna kumung'unya maneno Inawezekana kabisa kwamba magenge ya wahalifu wa Kimataifa wamepata Uchochoro wa Kusajili Meli zao hapa Bongo Kwa rushwa Ili zikatumike kwenye Uhuni.

Mwaka 2018 hayati Magufuli aliliona hili na kuzuia usajili wa hizi meli lakini naona ule mchezo umejirudia.

Serikali Chukueni hatua,kutamka tuu kwamba meli iliyokamatwa imefutiwa usajili haitoshi ,uchunguzi zaidi Kwa mamlaka zinazosimamia ufanyike.
 
Mkuu kupata import/ export license
Tax clearance ya Nchi inayomilikiwa hiyo Meli..
Majina ya wanaoomba hiyo leseni..
Physical address..
Bank statement
Kuonyesha thamani ya vitu wanavyobeba ili wapewe hiyo leseni..
Kuomba hiyo kampuni isajiriwe kwenye Nchi wanayoomba leseni..
Hatua ya pili ni mfumo wa kuweka hizo documents Online e baada ya kuziambatanisha yupo muhusika ataruhusu uendelee na mchakato anatoa pin number officer wa serikali ambao wapo kwenye mfumo na baadae unapata leseni Nchi nyingi malipo yake ni kidogo sana zingine ni bure wanaolipwa ni mawakala tu sema kwa Tanzania inaonekana wanatoa mpunga hivi vyote vinafanyika kwa urahisi sana ndio maana hata majibu tunapewa mepesi tu...
 
Tunarudisha pesa zetu tulizochangia chama,hata mpewa tenda wa kusambaza nguo za jeshi Magufuli alimkataa kutokana na ufisadi lakini hivi sasa anapiga ishu zake kama kawaida.
Acheni tuendelee kufisadi rasilimali za Taifa na hakuna wakututisha.
 
My Take
Hakuna kumung'unya maneno Inawezekana kabisa kwamba magenge ya wahalifu wa Kimataifa wamepata Uchochoro wa Kusajili Meli zao hapa Bongo Kwa rushwa Ili zikatumike kwenye Uhuni.

Mwaka 2018 hayati Magufuli aliliona hili na kuzuia usajili wa hizi meli lakini naona ule mchezo umejirudia.

Serikali Chukueni hatua,kutamka tuu kwamba meli iliyokamatwa imefutiwa usajili haitoshi ,uchunguzi zaidi Kwa mamlaka zinazosimamia ufanyike.
View attachment 3549383
 
Huu mzigo sijui kama destination yake ilikuwa tz
Najuwa kuna wakati tz ilikuwa hub ya waletaji wa madude baadaye walipobanwa wakakimbilia msumbiji

Ova
Ukiondoa hiyo bendera hiyo meli haina chochote kilichotoka Tanzania, huku kwetu kuna uchochoro wa makampuni makubwa ya meli kupatia usajili wa bei karibu na bure, taratibu zipo holela kwa miaka mingi.

Hasara ya meli ya kigeni kupata usajili wa Tanzania huja kwenye masuala ya kutumika kubebea drugs na biashara nyingine za ajabu ajabu.
 
Ndiyo wangesitisha usajili wa meli hizo holelaholela.

Ova
 
Ukiondoa hiyo bendera hiyo meli haina chochote kilichotoka Tanzania, huku kwetu kuna uchochoro wa makampuni makubwa ya meli kupatia usajili wa bei karibu na bure, taratibu zipo holela kwa miaka mingi.

Hasara ya meli ya kigeni kupata usajili wa Tanzania huja kwenye masuala ya kutumika kubebea drugs na biashara nyingine za ajabu ajabu.
Hapo bado yale maboom yanayotoka Persian huko 😄

Ova
 
Back
Top Bottom