Hahaha sio kwamba mzee alikuwa na nongwa tu kuona madili hapati kituKwa hili bwana Jiwe namuunga mkono.
Kuna wakati yule Mzee zilikuwa zinakuja na wakati mwingine zinaondoka
Sio kila kitu kinasemwa hadharani.Huyo mchina anaitwa nani?
Wewe Lofa usifikiri unaongea na malofa wenzako...kwa taarifa yako humu jukwaani watu wana taarifa...Kuhusu tenda ya nguo za jeshi hayati JPM alifanya sanaa akatupumbaza sisi huku mtaani.
JPM alikuwa na mchina wake mwenye kampuni ya kutengeneza hizo nguo, akaenda pale magereza na kujifanya kuwakaripia wale viongozi kumbe lengo lake biashara ampe mchina wake.
Kizigha akaonekana fisadi mbele ya macho ya umma yeye JPM akaonekana shujaa.
Ngumu kuimeza hiyo taarifa.Wewe Lofa usifikiri unaongea na malofa wenzako...kwa taarifa yako humu jukwaani watu wana taarifa...
Kaa mbali na mzilankende wewe bibie....
Sio serikali kuchukua hatua, serikali ifanye mambo yote aliosimamia na kuyaamini JPM, kwa sasa Tanzania tungekuwa mbali. Ila sijui kwa nini ramani iliyochorwa na JPM inatupwa pembeni kwa hasira kabisaMy Take
Hakuna kumung'unya maneno Inawezekana kabisa kwamba magenge ya wahalifu wa Kimataifa wamepata Uchochoro wa Kusajili Meli zao hapa Bongo Kwa rushwa Ili zikatumike kwenye Uhuni.
Mwaka 2018 hayati Magufuli aliliona hili na kuzuia usajili wa hizi meli lakini naona ule mchezo umejirudia.
Serikali Chukueni hatua,kutamka tuu kwamba meli iliyokamatwa imefutiwa usajili haitoshi ,uchunguzi zaidi Kwa mamlaka zinazosimamia ufanyike.
View attachment 3549383
Ugumu uko wapi?..weka facts...sipo hapa kutetea mtu...mimi sio chawa elewa hilo!Ngumu kuimeza hiyo taarifa.
Suala linamhusu hayati mstaafu, classified information.Ugumu uko wapi?..weka facts...sipo hapa kutetea mtu...mimi sio chawa elewa hilo!
Ila vinasemwa wapi?nawewe ulijuaje?Sio kila kitu kinasemwa hadharani.