Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,629
- 38,236
Haijawahi ima imekuwa chini ya huyu chura wakoTanzania haijawahi kuwa takataka
Haijawahi ima imekuwa chini ya huyu chura wakoTanzania haijawahi kuwa takataka
Hizo biashara za kina El Mencho na mafia wengine wa amerika ya kusini.Samia kazungukwa na majizi kila upande 😭
Yeye mwenyewe ndo kiongozi wao wa majambazi,yule shetani mnywa damu mpuuzi mkubwa sanaSamia kazungukwa na majizi kila upande 😭
Wanywa damu ni wale waliowachuza vijana wakiwaambia waingie mtaani kuleta fujo.Yeye mwenyewe ndo kiongozi wao wa majambazi,yule shetani mnywa damu mpuuzi mkubwa sana
Kuhusu tenda ya nguo za jeshi hayati JPM alifanya sanaa akatupumbaza sisi huku mtaani.Tunarudisha pesa zetu tulizochangia chama,hata mpewa tenda wa kusambaza nguo za jeshi Magufuli alimkataa kutokana na ufisadi lakini hivi sasa anapiga ishu zake kama kawaida.
Acheni tuendelee kufisadi rasilimali za Taifa na hakuna wakututisha.
yaani meli imesajiliwa tanzania isiwe na kitu nyuma ya pazia,serious? Hiyo meli mmiriki wake ni nani? Kama ni ya watu kutoka nje,kwa nini waipatie usajili wa Tanzania?Ukiondoa hiyo bendera hiyo meli haina chochote kilichotoka Tanzania, huku kwetu kuna uchochoro wa makampuni makubwa ya meli kupatia usajili wa bei karibu na bure, taratibu zipo holela kwa miaka mingi.
Hasara ya meli ya kigeni kupata usajili wa Tanzania huja kwenye masuala ya kutumika kubebea drugs na biashara nyingine za ajabu ajabu.
Achana na Mama wewe anaupiga mwingi mitano tenaMy Take
Hakuna kumung'unya maneno Inawezekana kabisa kwamba magenge ya wahalifu wa Kimataifa wamepata Uchochoro wa Kusajili Meli zao hapa Bongo Kwa rushwa Ili zikatumike kwenye Uhuni.
Mwaka 2018 hayati Magufuli aliliona hili na kuzuia usajili wa hizi meli lakini naona ule mchezo umejirudia.
Serikali Chukueni hatua,kutamka tuu kwamba meli iliyokamatwa imefutiwa usajili haitoshi ,uchunguzi zaidi Kwa mamlaka zinazosimamia ufanyike.
View attachment 3549383
tena heri ingekuwa takataka sasa hivi na maviTanzania haijawahi kuwa takataka
Kuna kitu kinaitwa flag of convenience, yaani wepesi wa meli kusajiliwa katika nchi fulani tofauti na nyingine.yaani meli imesajiliwa tanzania isiwe na kitu nyuma ya pazia,serious? Hiyo meli mmiriki wake ni nani? Kama ni ya watu kutoka nje,kwa nini waipatie usajili wa Tanzania?
CHAWA WOTE huwa wanajitoa tu UFAHAMU sio kwamba hawana akili timamu,wanajitoa aibu ,kusema unaupiga mwingi.Achana na Mama wewe anaupiga mwingi mitano tena
Sasa kwa nini serikali haijaona huo mwanya Kuwa meli za mataifa mengine zikisajiliwa usajili wa taifa letu zinatumika vibaya hasa biashara haramu/za magendo wakaacha kufanya usajili huo?Kuna kitu kinaitwa flag of convenience, yaani wepesi wa meli kusajiliwa katika nchi fulani tofauti na nyingine.
Huu umekuwa utaratibu wa kidunia wa kusajili meli. Baadhi ya mataifa kwa kuangalia gharama ndogo za kusajili huko makwao huamua kuja huku Afrika na kufanya usajili wa meli zao.
Kila meli inayotembea majini lazima iwe na bendera ya nchi fulani inayoitambulisha. Kuwepo kwa bendera ya Tanzania hakuna maana kwamba meli ni yetu, ni taratibu zile zile za usajili.
Faida za kusajili kwenye nchi ndogo ni tozo za mwaka kuwa ndogo hivyo kampuni zinazosajili meli hupata faida kubwa ya kiuchumi.
Lakini hasara ni kwa taifa ambapo meli imesajiliwa, biashara haramu za kidunia huleta sifa mbaya.
Sheria ya International Maritime Organization inaruhusu usajili wa meli kufanyika mahali popote duniani.Sasa kwa nini serikali haijaona huo mwanya Kuwa meli za mataifa mengine zikisajiliwa usajili wa taifa letu zinatumika vibaya hasa biashara haramu/za magendo wakaacha kufanya usajili huo?
nini kifanyike kusitokee jambo kama hili tena mchini?Sheria ya International Maritime Organization inaruhusu usajili wa meli kufanyika mahali popote duniani.
Inawezekana huo usajili wa meli ni kichaka cha watu kupiga pesa huko visiwani.nini kifanyike kusitokee jambo kama hili tena mchini?
PumbaKuhusu tenda ya nguo za jeshi hayati JPM alifanya sanaa akatupumbaza sisi huku mtaani.
JPM alikuwa na mchina wake mwenye kampuni ya kutengeneza hizo nguo, akaenda pale magereza na kujifanya kuwakaripia wale viongozi kumbe lengo lake biashara ampe mchina wake.
Kizigha akaonekana fisadi mbele ya macho ya umma yeye JPM akaonekana shujaa.
Ujumbe wa kweli umefika.Pumba
Huyo mchina anaitwa nani?Kuhusu tenda ya nguo za jeshi hayati JPM alifanya sanaa akatupumbaza sisi huku mtaani.
JPM alikuwa na mchina wake mwenye kampuni ya kutengeneza hizo nguo, akaenda pale magereza na kujifanya kuwakaripia wale viongozi kumbe lengo lake biashara ampe mchina wake.
Kizigha akaonekana fisadi mbele ya macho ya umma yeye JPM akaonekana shujaa.