Video: Huyo mtoto ni hakunaga

Video: Huyo mtoto ni hakunaga

Huyu dogo ana karama ya Mungu la sivyo kuna mapepo au majini yanamtumia, siyo yeye anayeongea hayo..! Kuna mtoto wa brother alikuwa hiyvyo anajua hadi mambo ya kuchakata gesi akiwa darasa la tatu, alikuwa na akili hakuna mfano badae sababu ya kwenda kwenda Church majini yalitibuka ndiyo tukajua haa kumbe siyo yeye. Ameombewa sana currently ana akili ila za kawaida ata zile mambo hazijui tena.
Umeandika point muhimu sana
 
[emoji87]
 
Ifikie kpind tukubali asee... dogo yuko safi sana. Akipata malez kwenye system hiyo hiyo atakuwa vzur sana badae

hata tusipokubali ila ukweli dogo yuko vizuri
 
Me kaniacha hoi ati anasoma udom

He's soooo cute and adorable [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
ni r
Acha zako wewe.... Huyo dogo kwa umri wake huwezi mkaririsha chochote zaidi ya jina lake na vinyimbo virahisi rahisi... Na kwa jinsi anavyojibu unaona kabisa kuwa dogo ana ubongo sumaku... I.e hakuna kinachompita... Iwe taarifa ya habari mpaka maongezi ya watu wa kawaida... !
Naweza kusema kuwa dogo ana photographic memory.. !
ni rahisi kuliko unavyofikiri
 
Huyu dogo ana karama ya Mungu la sivyo kuna mapepo au majini yanamtumia, siyo yeye anayeongea hayo..! Kuna mtoto wa brother alikuwa hiyvyo anajua hadi mambo ya kuchakata gesi akiwa darasa la tatu, alikuwa na akili hakuna mfano badae sababu ya kwenda kwenda Church majini yalitibuka ndiyo tukajua haa kumbe siyo yeye. Ameombewa sana currently ana akili ila za kawaida ata zile mambo hazijui tena.
Kwa mawazo kama haya mtaendelea kuwasujudu wazungu hadi kufa kwenu!! Mnaamini sana ushirikina

Unajiuliza brazil kuna madogo wadogo wanapelekwa sports academ

Ukienda sehemu kama urus dogo wa miaka 20 anacheo kikubwa tu kwe jeshi lao!

Huyo dogo hapo kwenye video ana kipaji ila hamna anaejali!

Marekani hawana wizara ya technology lakini kila siku wanafanya maajabu!

Huyo alitakiwa apelekwe shule za watoto wenye vipaji maalum!
 
Hamna kitu hapo, kafanyiwa marudio ya kufa mtu, amekaririshwa tu.

Hahaha angekuwa wa Kizungu au Kichina Je jibu lingekuwa hili hilo au sasa hvi mngekuwa mnakimbizana na kushindana na Misamiati migumu ya Kizungu kumtafutia jina mara genius mara sijui nini?
 
hii video ni photoshop wame edit [emoji15][emoji124][emoji124]
 
Back
Top Bottom