Video: Huyo mtoto ni hakunaga

Video: Huyo mtoto ni hakunaga

Yani nimetamani huyo mtoto angekuwa wangu[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji16] [emoji24][emoji15]
Ni pm mkuu nikupatie mbegu zitakazoleta pacha zenye akili zaidi ya hao.. !

Sipendagi ujinga mimi !
 
Hivi humu unajua kuna mijitu inamuonea wivu Dogo anavyotiririka!...MTU hadi anafikia kusema eti Dogo ana kichwa kama tikiti maji la kisasa?!! Si laana hii[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Hivi humu unajua kuna mijitu inamuonea wivu Dogo anavyotiririka!...MTU hadi anafikia kusema eti Dogo ana kichwa kama tikiti maji la kisasa?!! Si laana hii[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Huyo ni mapepo/majini ndiyo yanaongea nyie mnadhani ana akili.
 
Wamemkaririsha huyo
He usinichekeshe hebu na wewe kariri basi uje ututajjie aliyoyataja huyo mtoto! Ukitaka kujua huyu mtoto ni genius ni pale alipoulizwa waziri wa mifugo, ingekuwa ni issue tu ya kukariri ( by the way hata kukariri ni ishara ya kuwa intelligent, acha lugha hizi za mitaani kufikiri kukariri ni ujinga) any way back to my point. Ingekuwa kakaririshwa tu ( as you said) asingeweza pata Waziri wa Mifugo hebu we mtaje. Kwani ile ilitajwa tu Waziri wa Mifugo hata mtu mzima angebabaika so huyu mtoto ni super intelligent!
 
Watu wengne bhana et wamemkaririsha wakati wengne hata majina ya baba zao hawajui. Big up sana Doggo
 
Dogo noma" nadhani baba yake na mama yke lazma wako smart pia
 
Ifikie kpind tukubali asee... dogo yuko safi sana. Akipata malez kwenye system hiyo hiyo atakuwa vzur sana badae
 
Back
Top Bottom