bayfe
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 548
- 256
Wewe umri huo hata kusema mama ulishindwa. Hujui uwezo wa kukariri unavyohusika katika IQ ya binadamu. [emoji13] [emoji13] [emoji13]Wamemkaririsha huyo
Wewe umri huo hata kusema mama ulishindwa. Hujui uwezo wa kukariri unavyohusika katika IQ ya binadamu. [emoji13] [emoji13] [emoji13]Wamemkaririsha huyo
Sidhani kama ungeweza kujib yote kwa ufasaha Kama huyo dogoHamna kitu hapo, kafanyiwa marudio ya kufa mtu, amekaririshwa tu.
Amepanic maswali aliyokuwa akijib Dogo Haiytham asingeweza kuyajibu wacha povu limmwagike na bichwa Lake Kama rungu la pembe wa ze comedyKwanini unamtukana mtoto?
Amekukosea nini?
Shame on you.
Nilikua siamini jf kuna misukule, leo nimethibitisha.Shame on you devil,
Hahaa yuko udom...ametisha aiseeHakika kijana anakipaji,achaendelee na masomo yake UDOM..
Hahaha kwa kweli ni kupanic,Amepanic maswali aliyokuwa akijib Dogo Haiytham asingeweza kuyajibu wacha povu limmwagike na bichwa Lake Kama rungu la pembe wa ze comedy
Katika kujifunza kukariri huanza kuelewa kunafuata.Wamemkaririsha huyo
Ana akili kuliko vijana wa buku saba lumumba fc
Mungu ana hekma zake za kuumba na Mungu hakosei.Aliempa Kichwa kikubwa ni Mungu na Mungu ameumba binaadam kwa maumbile tofauti ili tumtambue Mungu Uwezo wakena uwepo wake.Kukashifu Uumbaji wa Mungu ni Laana.Nini maana ya kipaji? Labda anakipaji cha kuwa na libichwa kama tikiti maji la kisasa!