Video: Huyo mtoto ni hakunaga

Video: Huyo mtoto ni hakunaga

Hamna kitu hapo, kafanyiwa marudio ya kufa mtu, amekaririshwa tu.
Unadhani kumkaririsha mtoto wa umri huo na akakariri vyote hivyo ni mchezo? Angalia hata kuongea vizuri hawezi, so hata nae pamoja na kukaririshwa na akakumbuka vyote basi yuko vizuri.
 
Waziri wa Mambo ya Nje Kachemsha... anasema Maige wakati ni Mahiga!
 
Huyo dogo ameweza kukalili vizuri sasa na ubongo wake sio mbaya ingawa uwezi kumuuliza ambacho ajawa expossed to akakupa jibu sahii
Sasa akupe jibu kitu ambacho hajawa exposed kwani kawa na pepo la utambuzi!!
 
Wangu anajua mpaka nyeti zako


Duh! Kama ni kweli bsi ningekuwa wewe ningefanya DNA test kwa maana hiyo Akili ni lazima ya kurithi na haionekani kama anaweza kuwa amerithi ktk kwako!
 
Huyu mtoto simply ni genius, kitakachomponza ni utanzania wake naona ameanza kubezwa na ndugu zake. Tumpe hongera yuko vizuri huyu mtoto.
 
Dogo ana kitu flani, binafsi sijui kama ni genius ama kipaji. Ila kipo kitu hapo.

Kuna Mwaka flani aliibuka dogo mkali wa mathematics, alivuma sana ktk media.

Jina nimemsahau, aliwahi kuletwa pale kwa USTADH - MKALI WA ENG, CHANGE'OMBE, asome English. Though hakusoma.

Ktk kumuhoji, aliulizwa na USTADH kwa nini amefeli darasa la 7. Akajibu kuwa ktk mtihani ALIKUWA ANAANDIKA MAJIBU BILA YA NJIA.

Wanasema kwa vituko vyake, akafika UDSM kuonyesha alichonacho. Inasemwa huko nako alikuwa alikuwa anatoa majibu ya COMPLEX EQUATIONS kwa KUROPOKA TU, haina calculation wala nini

Mwisho wa siku wasomi wakamkataaa kuwa hamna kitu mle!
 
Back
Top Bottom