Ubavu
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 2,790
- 3,277
Mkuu hata wewe sidhani kama kuna vitu ambavyo haujawa exposed navyo ukawa unavijua vizuri.... Lazima uwe familiar navyo ndipo vikiletwa tena hata kama vimekuwa twisted utaving'amua kirahisi...Huyo dogo ameweza kukalili vizuri sasa na ubongo wake sio mbaya ingawa uwezi kumuuliza ambacho ajawa expossed to akakupa jibu sahii