Video: Huyo mtoto ni hakunaga

Video: Huyo mtoto ni hakunaga

anakaririshwa. umri huo mtoto ana uwezo wa kutunza kumbukumbu sana. kwa hiyo hapo kama hajakariri atakua kayajulia wapi?
Acha zako wewe.... Huyo dogo kwa umri wake huwezi mkaririsha chochote zaidi ya jina lake na vinyimbo virahisi rahisi... Na kwa jinsi anavyojibu unaona kabisa kuwa dogo ana ubongo sumaku... I.e hakuna kinachompita... Iwe taarifa ya habari mpaka maongezi ya watu wa kawaida... !
Naweza kusema kuwa dogo ana photographic memory.. !
 
Huyo mkubwa wala cyo mtoto!!
Mtoto atanyoaje pank??
 
Huyu dogo ana karama ya Mungu la sivyo kuna mapepo au majini yanamtumia, siyo yeye anayeongea hayo..! Kuna mtoto wa brother alikuwa hiyvyo anajua hadi mambo ya kuchakata gesi akiwa darasa la tatu, alikuwa na akili hakuna mfano badae sababu ya kwenda kwenda Church majini yalitibuka ndiyo tukajua haa kumbe siyo yeye. Ameombewa sana currently ana akili ila za kawaida ata zile mambo hazijui tena.
Mmemuharibu mtoto wenu na mambo yenu ya dini.. ! Dogo alitakiwa kipaji chake akiachie nyie mkamdiscourage mpaka akakosa confidence in himself.. ! Hapo mmetengeneza religion fanatic badala ya Einstein ajaye.. ! Shame on you !
 
Huyo mkubwa wala cyo mtoto!!
Mtoto atanyoaje pank??
Mtoto huyo.. Mi nikiangalia pics za zamani nilikuwa nnanyolewa pank la design hiyo... ! Na hapo nilikuwa nnamiaka miwili mpaka nafika darasa la kwanza nilikuwa nanyolewa hivyo... Baada ya kupata akili na kusimama school Assembly ikaonekana ni kosa kunyoa pank so nikaacha..
 
Mmemuharibu mtoto wenu na mambo yenu ya dini.. ! Dogo alitakiwa kipaji chake akiachie nyie mkamdiscourage mpaka akakosa confidence in himself.. ! Hapo mmetengeneza religion fanatic badala ya Einstein ajaye.. ! Shame on you !
mzungu akiona mtoto wake yupo hivyo anasema ana kipaji, mwafrika akiona mtoto ana uwezo kama huo anasema mtoto ana majini. sijui tumeumbaje duh
 
Mmemuharibu mtoto wenu na mambo yenu ya dini.. ! Dogo alitakiwa kipaji chake akiachie nyie mkamdiscourage mpaka akakosa confidence in himself.. ! Hapo mmetengeneza religion fanatic badala ya Einstein ajaye.. ! Shame on you !
Acha upuuzi wenu nyie, alikuwa anaamka usiku anataka aondoke na ananguvu vibaya mno akitaka kuondoka mama yake hawezi kumgusa ilibidi kumwekea mijidume kumdhibiti..!

Siyo kuwa hana akili still ni kipanga ila alikuwa anafanya mambo makubwa, mno ata maprof. Hawayawezi.
 
Huyu dogo ana karama ya Mungu la sivyo kuna mapepo au majini yanamtumia, siyo yeye anayeongea hayo..! Kuna mtoto wa brother alikuwa hiyvyo anajua hadi mambo ya kuchakata gesi akiwa darasa la tatu, alikuwa na akili hakuna mfano badae sababu ya kwenda kwenda Church majini yalitibuka ndiyo tukajua haa kumbe siyo yeye. Ameombewa sana currently ana akili ila za kawaida ata zile mambo hazijui tena.
sasa hamuoni mmemrudisha nyuma dogo?
 
Yani nimetamani huyo mtoto angekuwa wangu[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji16] [emoji24][emoji15]
 
Acha upuuzi wenu nyie, alikuwa anaamka usiku anataka aondoke na ananguvu vibaya mno akitaka kuondoka mama yake hawezi kumgusa ilibidi kumwekea mijidume kumdhibiti..!

Siyo kuwa hana akili still ni kipanga ila alikuwa anafanya mambo makubwa, mno ata maprof. Hawayawezi.
Sasa kwanini hukumalizia habari yote.. ?! Unaleta habari nusu nusu.... ?!
 
Back
Top Bottom