Ramadhan Rajabu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 578
- 1,105
Mtu pori bana
na wewe utakua mpumbavu tu ina maana muda wote huo hao watu hawakua wamekaguliwa kuwa rais atawapokea? wana ccm tukubali hapa kwamba picha limeungua kwenye kadamnasi. Gambo achukuliwe hatua stahiki.aibu gani hiiMsichokijua sawa na usiku wa giza kiusalama hao watu lazima kwanza wakaguliwe na vyombo vya usalama, pili wajue matatizo yao na tatu wanam brief rais kuwa kuna hili na hili na hili so rais anakuwa tayari ameshajua kabla ya kupanda jukwaani. Sasa kwa akili yako mtu aende jukwaani bla kukaguliwa vp akiwa na silaha au mabomu.. Saa nyingine basi muwe mnajiongeza kidogo. Yawezekana hao watu walisema watapanda na labda wameogopa au wameondoka.
Kama taifa ni la kwetu sote kwanini tunanunua watu wa chadema mpaka tunaaibika kiasi hiki? tuache unafiki.TAIFA NI LETU SOTE MNAMUOMBEA RAIS WETU ASHINDWE ITAWASAIDIA NINI, IVI HAMJUI AKISHINDWA YEYE TUMESHINDWA WOTE ACHENI GILIBA TUMPONGEZE APATE ARI YA KUJENGA NCHI YETU TUACHE MAMBO YA KITOTO
Kweli ni fresh from Uni halafu wana kuwa political advisers na kupanda ngazi mpaka juu.
Succession planning ebu angalia watu kama kina Cameron wanapoanza kabla ya kufikia uongozi wa juu
kwahiyo alipokuwa anamuliza RC wako wapi watu wako alikuwa anaaanisha wanausalama?Watu waliokuwa katika hadhara hiyo walikuwa wanamlalamikia Magufuli, kinyume na maudhui ya hotuba.
Magufuli anawakaripia wasaidizai wake hapo kwa kuwa hawajaweka watu wa usalama kudhibiti watu wanaomuingilia katika hotuba.
Huu ni udikteta, rais anatakiwa kusikiliza wananchi wake, sio kuagiza watu wa usalama wawanyamazishe.
Lissu afilie hukohuko.anatusaidia nn huyo kibaraka??!!Anavoongea anaonesha kabisa ni mtu mwenye stress na hajiamini hata kidogo.....KAPANIKI SANA JAMAA. Alivo mjinga eti tumuombee badala ya kumuombea LISSU?
Hao watu wakina nani?Msichokijua sawa na usiku wa giza kiusalama hao watu lazima kwanza wakaguliwe na vyombo vya usalama, pili wajue matatizo yao na tatu wanam brief rais kuwa kuna hili na hili na hili so rais anakuwa tayari ameshajua kabla ya kupanda jukwaani. Sasa kwa akili yako mtu aende jukwaani bla kukaguliwa vp akiwa na silaha au mabomu.. Saa nyingine basi muwe mnajiongeza kidogo. Yawezekana hao watu walisema watapanda na labda wameogopa au wameondoka.
Huu ndio uhuru wa maoni mnaotaka hadi kufikia kumwita mtangulizi wake dhaifu, ndio maana naona mshughulikiwe tu maana hakuna jinsi
Wewe nani wake hata unamwombea msamaha, mshauri aombe msamaha yeye mwenyewe kupitia Tweeter, anajua kuitumia; maana kwa Lisu alitoa pole.Mhe.ni Binadamu pia ulimi ulimteleza.Tumsamehe
Hoja 'dhanifu' mara nyingi huwa ni za kipuuzi kama huu upuuzi uliouandika hapa!!!Msichokijua sawa na usiku wa giza kiusalama hao watu lazima kwanza wakaguliwe na vyombo vya usalama, pili wajue matatizo yao na tatu wanam brief rais kuwa kuna hili na hili na hili so rais anakuwa tayari ameshajua kabla ya kupanda jukwaani. Sasa kwa akili yako mtu aende jukwaani bla kukaguliwa vp akiwa na silaha au mabomu.. Saa nyingine basi muwe mnajiongeza kidogo. Yawezekana hao watu walisema watapanda na labda wameogopa au wameondoka.
Hivi wewe ni Njolo au Njululu, maana hujui hata mada hii inahusu nini. Kaanzishe uzi wako uiite "Hapa u Shamba tu" tutakuelewa.Mimi nimeshuhudia utenandaji wa awamu zote Tano za Urais wa Inchi hii.
Haya malezi tunayopata sasa toka kwa Rais wa awamo ya Tano ni mazuri sana na yanamanufaa kwa watoto wetu wa sasa na vizazi vijavyo.
Mzazi alinayelea watoto wake kwa kuwapa starehe nyingi huwaangamiza bali mzazi anayewalea watoto wake kwa kuwafundisha kufanya kazi, kujituma, kufikiri kusoma nk huwapo mwanga na maisha bora ya baadaye.
Binadamu wengi, na hasa Waafrika, hatupendi kufanya kazi mpaka tushurutishwe au kusimamiwa na kuchapwa mijeledi ndiyo tufanye kazi. Tunaiona kazi kama mateso na tunakiri kabisa kuwa kama tungekuwa na pesa tungekuwa tunakula shushi tu.
Wenzetu weupe kwao kazi ni starehe. Wanasema, "Idle labour is tha factory of devil" ( Nguvu kazi isiyotumika ni karakana la shetani). Waswahili hatuelewi hili.
Sasa hivi ukienda kila mji, barabara zinajengwa kwa kiwango cha lami ya hali ya juu sana, elimu inatiliwa mkazo, viwanda nk.
Ukishangaa ya Makufuli hujawahi kuona ya Nyerere.
Ndiyo, usalama wa ile sehemu kudhibiti watu waliokuwa wanamuingilia katika hotuba ulikuwa dhaifu, alikuwa hataki kusikiliza malalamiko ya wananchi wanaomuingilia katika hotuba yake, alitaka wanausalama wawashughulikie wale watu waliokuwa wanalalamika.kwahiyo alipokuwa anamuliza RC wako wapi watu wako alikuwa anaaanisha wanausalama?
TAIFA NI LETU SOTE MNAMUOMBEA RAIS WETU ASHINDWE ITAWASAIDIA NINI, IVI HAMJUI AKISHINDWA YEYE TUMESHINDWA WOTE ACHENI GILIBA TUMPONGEZE APATE ARI YA KUJENGA NCHI YETU TUACHE MAMBO YA KITOTO
Yeah JK kidogo fits the bill za kutengenezwa kuja kuwa kiongozi labda na Mwakyembe kazunguka kabla ya kufika juu be it kwa yeye ndani ya chama sana without government experiece.Kweli ni fresh from Uni halafu wana kuwa political advisers na kupanda ngazi mpaka juu.
Kwa sisi ni kama JK aliposhikwa mkono na JKN
Hatuwezi kujilinganisha nao kabisaYeah JK kidogo fits za bill za kutengenezwa kuja kuwa kiongozi labda na Mwakyembe kazunguka kabla ya kufika juu be it kwa yeye ndani ya chama sana.
Hila kuna tofauti kidogo na hawa wenzetu wanachofanya hao private secretaries kuna wa aina mbili. Kundi la kwa ndio asilimia kubwa ya future makatibu wakuu wa wizara, wakurugenzi wa wizara, mabalozi, senior MI6, MI5, wakurugenzi kwenye department zingine za serikari zilizo chini ya wizara etc (uwezi kufika juu katika hizo nafasi bila ya kupitia white hall katika career yako).
Ukifika juu you become loyal to the state (afisa usalama) na ndio watu wanao amua nchi inaongozwa vipi kupitia permanent secretaries; ata pale chama kipya cha siasa kinapoingia madarakani wao ndio wanaamua namna gani sahihi ya sera kutekelezwa na si ajabu kukawa na compromise kama wanaona kama ilivyo ina madhara kwa taifa.
Sasa kwakuwa vyama vya siasa vimeshaelewa changamoto za ku deal na bureaucracy ya serikarini katika maamuzi yao na wao ndio wanapeleka vijana wao wanapoingia madarakani kama sehemu ya team private ministerial secretariat team (kundi la pili) ndio hao special advisers. Hawa wanakuwa si official employees of civil services japo wanafanya kazi na waajiriwa wengine wa serikari.
Kazi ya hao special advisers ni kufanya research on specific matters na kumpa waziri another perspective au uelewa wa kutosha ili aweze kutetea msimamo wa chama pale ambapo katibu mkuu anapokuwa na mtazamo tofauti wa namna ya kufikia sera. Na hawa ni special talent wanatokea kwenye youth wing of political party in power they are role is pretty much reduced to being research assistants.
Special adviser akitoka anaenda kufanya kazi private au serikarini akisubiri nafasi ya ubunge itokee; chama kikiona kuna nafasi japokuwa kuna uhuru wa kugombea aliekuwa special adviser before ujue ndio ana back up ya chama kwenye uchaguzi wa ndani nani agombee na si ajabu mtu akaenguliwa kama asiposhinda chama inaemtaka.
Sio sisi katibu mkuu ajawahi kuwa ata balozi wa nyumba kumi wala ajui politics za civil services, sijui waziri ajawahi kufanya ata kazi ya chama wala aelewi misingi yake ni ovyo na chaos tupu. Mtu ajawahi kufanya kazi ata ikulu press sercretary wa raisi, Chief secretary ajawahi kuwa ata katibu mkuu the whole thing is a mess raisi anajua anataka nini lakini hana watu wa mbinu, hakuna watu waku control kauli zake mtu anapanga mipango na wakuu wa mikoa wakati anawataalamu ovyo kweli kweli.