Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,660
- 140,283
Hii ilikuwa mwisho mwisho mwa mkutano wa hadhara uwanja wa Sheikh Amri Abeid juzi kule Arusha. Sikupata kwa ukaribu zaidi nini kilitokea lakini Mh.Rais aliwamaind sana watu walioandaliwa ukaribisho lakini hawakutokea
My Take
Haya ni yaliyovuja hadharani, vipi yale ya ndani ya mikao na kwenye chobingo?Inawezekana wanapigwa mpaka vibao