Cicadulina
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 961
- 2,345
Umesema..!?Ukiwa Poisi huwezi kuwa mwizi?!!
Vile mwendakuzimu amefurahia hii comment yako kutokea huko kuzimu😁😁😁Sabaya kuna ubaya mwingi sana kautenda ila ana mazuri pia japo kidogo
Atandikwe viboko 7 aachwe aende zake
Na kwa namna hii nakataa kumpa kiongozi raia madaraka ya vyombo vya ulinzi na usalama nje ya wigo wake wa kazi na mipaka ya kazi yake kinyume cha sheria kwa sababu tu wewe ni rais,Tazama video
Tazama video
Kumbe alizikwa na miwani, kigogo alisema alifungwa kwenye ngozi ya kondoo na mkuki + vibuyuVile mwendakuzimu amefurahia hii comment yako kutokea huko kuzimu😁😁😁
View attachment 1891946
Vile mwendakuzimu amefurahia hii comment yako kutokea huko kuzimu😁😁😁
View attachment 1891946
Kabla ya kufikia huko kwenye "katiba Lazima Ibadilike", inafaa kwanza ushughulishe akili yako, na sisi sote tunaotaka iwe hivyo ni jinsi gani tutaondoa kizingiti, ambacho ni CCM, kinachopigana juu chini Katiba Isibadilike!Na kwa namna hii nakataa kumpa kiongozi raia madaraka ya vyombo vya ulinzi na usalama nje ya wigo wake wa kazi na mipaka ya kazi yake kinyume cha sheria kwa sababu tu wewe ni rais,
kwa hiyo special forces zilikuwepo wakati sisi tunapiga yowe la wasio julikana kumbe kuna mtu alikuwa amekaa pembeni anatucheka tu, hii katiba lazima ibadirike.
Acha kujaza server za JF na huo mchoro wa kijingaVile mwendakuzimu amefurahia hii comment yako kutokea huko kuzimu😁😁😁
View attachment 1891946