Video fupi: Kamati kuu CCM yasema: Mahali ambapo kuna mbunge wa CCM asibughudhiwe hata kama hafanyi vizuri

Haahaa!

Upinzani huwa haufi hata siku moja hata wakiamua wote nchi nzima kuwa chama kimoja kimakaratasi itakuwa ndio ila kiuhalisia haitakuwa ndio bali hapana.

Mfano, familia huwa wote ni ndugu wa damu lakini lazima mtofautiane.

Kiukweli nchi zote za Afrika haziendelei sababu kuu ni moja ambayo ni muingiliano wa sera tofauti za vyama katika kutekeleza maendeleo yao.

Ndio maana wataalamu wa maendeleo huwa wanashauri pawepo na mfumo mzuri unaosimamia uendeshaji sio kiongozi mzuri kutekeleza maendeleo.

Tutafika tu hata hivyo yupo atakaye mfunga paka kengele.
 
Huyu jamaa huyu tukiendelea kumuachia nchi itatucost sana!
_20200118_221027.JPG
 
Vipi ile milango ya maridhiano mliyoifungua 9th December mwaka jana pale CCM Kirumba imefikia hatua gani?
 
Times hadi KISANYA clip zote za hawa jamaa tunatengeneza DVD MOJA ITATUMIKANWAKATI WA KAMPENI
 
Tatizo sio CCM bali wapinzani wenye Roho mbaya na ubinafsi kupitiliza.
Wapinzani wanaogombania vyeo ndani ya vyama na kuwekeana mabifu yasiyo na maana.

Wapinzani wanaridhika kuwa wapinzani na wanaona ni dili kubwa.
Na bado mwaka huu kama upinzani ndio huu uliopo sasa CCM wataupeperushia mbali upinzani huu wa akina Mbowe,Cheyo,Lipumba, Mrema n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polepole anasema majimbo yote yenye mbunge wa ccm hata kama hafanyi vizuri asisumbuliwe na mtu. Nafikiri watanzania tunajipeleka kwenye utawala wa ki-imla kwa kushabikia chama hiki na kuua upinzani. Bado hatujaona machungu ya kuua nguvu ya upinzani. Wenzetu walioendelea kamwe hawafanyi hivi, wanajua upinzani ni muhimu na unapaswa kuwa na nguvu. Tuwe makini>
View attachment 1326648
Huyu naye ni mwanachama na kiongozi wa chama alichoasisi mwl.Nyerere? Kweli dunia yaenda kasi.
 
Tatizo sio CCM bali wapinzani wenye Roho mbaya na ubinafsi kupitiliza.
Wapinzani wanaogombania vyeo ndani ya vyama na kuwekeana mabifu yasiyo na maana.

Wapinzani wanaridhika kuwa wapinzani na wanaona ni dili kubwa.
Na bado mwaka huu kama upinzani ndio huu uliopo sasa CCM wataupeperushia mbali upinzani huu wa akina Mbowe,Cheyo,Lipumba, Mrema n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duniani kote vyeo vya vyama ugombaniwa au unataka wapite bila kupingwa kama m/kiti wenu
 
Polepole anasema majimbo yote yenye mbunge wa ccm hata kama hafanyi vizuri asisumbuliwe na mtu. Nafikiri watanzania tunajipeleka kwenye utawala wa ki-imla kwa kushabikia chama hiki na kuua upinzani. Bado hatujaona machungu ya kuua nguvu ya upinzani. Wenzetu walioendelea kamwe hawafanyi hivi, wanajua upinzani ni muhimu na unapaswa kuwa na nguvu. Tuwe makini>
View attachment 1326648
Hatari sana hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom