Video fupi: Kamati kuu CCM yasema: Mahali ambapo kuna mbunge wa CCM asibughudhiwe hata kama hafanyi vizuri

Mkuu alisema wanaCCM popote wanapoenda watembee "kifua mbele" hayaa na viongozi wao pia "WASIBUGHUDHIWE"
 
Vyama vya sasa vilianzishwa bila malengo ya kushinda
uchaguzu walitoka kwenye vyama Fulani kwa sababu ya furugu Fulani. Ndio maana Hanna matumaini, wasiojua kama Lisu anateseka tu lakini upinzani wa sasa ni ccm pure
Kazi yao nao nikulilia tu....itabidi tufanye mpango tusajili chama kipya cha kimapinduzi
 
Back
Top Bottom