hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,117
Haha --daahWewe kweli umeiona mpaka dk umezihesabu
Haha --daahWewe kweli umeiona mpaka dk umezihesabu
Daah Jamaa wame mmalizaGwajima bhana, huwez pambana na Makonda ukachomoka, wamemtafuta mwisho wamemnasa, kwisha habar yake ma.mae
Kama mimi ndiye yeye namimi nafanya jitihada mpaka ni vujishe clip ya DABGwajima bhana, huwez pambana na Makonda ukachomoka, wamemtafuta mwisho wamemnasa, kwisha habar yake ma.mae
Umerogwa aiseMbona picha ya kawaida hiyo, hakuna video hapo, tena picha ambayo hata mtu yoyote anaweza piga akaweka mtandaoni na isiwe kosa.
At least ungeweka link tuone hizo video ningeelewa.
Tatizo sio dini, Watu ndio tumeelemewa upumbavu.ndio maana kila siku nawaambia watu kuweni atheists!
dini ni upumbavu!
Ipoje,maana mbado sijaiona...anakatika sana?Naomba ieleweke kuwa ni videi tamu sio chafu,pia bishop kawakilisha wanaume wa mwanza kanda ya ziwa wanavyojua mambo
Subiri mkewe avujisheKama hiyo ninfake hebu weken original basi
Tatizo sio dini, Watu ndio tumeelemewa upumbavu.
Wahenga wanasema penye uzia penyeza rupia, ndipo hujitokeza achache miongoni mwetu na kutumia upumbavu wetu kuishi.
Ni Matapeli tu wanaineemesha kwa upuuzi wetu wenyewe.
Hao IMPERFECT ndio wanaburutana, na wachache kati yao wanajipachika majina ya Askofu, Nabii n.k. wanajipatia mradi wao.Mkuu
Dini zimejengwa na hao hao imperfect wanadamu...
Zinaongozwa na hao hao imperfect wanadamu...
Then ni stupendously moronically wrong kusema eti unaweza pata PERFECT system kutoka kwa IMPERFECT people who made and run it...
The system is wrong,the people who made them and who run them put together are all wrong and imperfect!
Plus,The God you are making a system for is impefect and even do not exist at all!
Hao IMPERFECT ndio wanaburutana, na wachache kati yao wanajipachika majina ya Askofu, Nabii n.k. wanajipatia mradi wao.
Nimekusoma Mkuu.Dini is essentially an enterprise.....let that sink in a moment!
Dini ni system ya watu wachache kuwatawala walio wengi (waumini)..hivyo naturally inajenga classes....let that sink in too!
Dini....ni....matakataka!
Sorry for my statements sir!
Mama sabrina njoo pm hata mi ni mwanaume w lake zone.Naomba ieleweke kuwa ni videi tamu sio chafu,pia bishop kawakilisha wanaume wa mwanza kanda ya ziwa wanavyojua mambo
msiba wa nani?Blah blah blah blah...tuko kwenye msiba mzito wa kitaifa ..
msiba wa nani?