Video: CHADEMA wafanya sherehe Mjini Morogoro

Write your reply...uhuni tu hapo, hakuna lolote, chama miaka zaidi ya 20 hakina hata ofisi
Ni afadhari chama kinacho jitafutia pesa kihalali kujenga miundo mbinu yake kuliko chama kilicho kikongwe lakini kimetaifisha mali za umma 85% na kuzimilikisha kwenye chama, sasa hapo sijui chama gani hakina hakina mali

Yalipo makao makuu ya chama dodoma kiwanja kilikuwa mali ya umma

Ilipo ofisi kuu ya chama dar es salaam lilikuwa eneo la umma. 90% ya ofisi zote za mikoa yalikuwa maeneo ya umma lakini hayo yote yalikimbiziwa chamani baada ya vyama vingi na hapo kuna majengo yalijengwa kwa nguvu za wananchi kipindi hicho cha TANU lakini yoote yamekimbiziwa chaman badala ya kuachwa kama mali ya umma kwa sababu yalihusisha wananchi wote kwa ujumla kabla ya itikadi za vyama na kipindi hicho vilikuwa vinajengwa viwe vya serikali lakini vyote vikakimbiziwa chamani eti viwanja vyote vya mikoa vya CCM kwakweli huu ni wizi wa mali za umma.
 
Back
Top Bottom