Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,722
ndo nauliza ni yule wa wimbo wa malebo aliekuwwaga jambazi then akaokoka
na kwenye siasa anatafuta nini asiyetulia akachunga kondoo wake?
na kwenye siasa anatafuta nini asiyetulia akachunga kondoo wake?
Huyu munish kuna cku kama wiki mbili zilizopita alijaza wa2 ubungo hii ikanionesha wa2 wanamkubal kidogo.