VIDEO: CCM wananitishia maisha - Rev. Munishi

VIDEO: CCM wananitishia maisha - Rev. Munishi

Status
Not open for further replies.
Mkuu utaratibu uhujui? ulipaswa kuweka source, kwa maana ya web au link yakutupeleka kwenye taarifa halisi. Ila mimi kama member mpenda haki, acha nitaarifu uongozi haraka sana ili watoe mwongozo wao kwenye hii thread yako.

cc: Paw, Cookie, PainKiller...
 
Last edited by a moderator:
sasa ngugu mchungaji kwa nini hili swala tusimkabidhi yesu ili yeye huu mzigo aubebe kwa namna ya hili andiko lako lilivyo linakutoa kwenye uchungaji na kukuweka kwenye siasa moja kwa moja.
 
Watakuwa vijana wa Lwakatare kazini kwakuwa huo si uramaduni wa CCM
 
Mchungaji Mnishi naye ana mambo! Hivi alimpata yule rafiki yake Malebo?

Tangia akina Rose Mhandoo waingie kwenye nyimbo za dini na kuliteka soko naona mwimbaji Munishi amekimbia na kuingia kwenye siasa huku akiwa na joho la kidini!
 
sasa ngugu mchungaji kwa nini hili swala tusimkabidhi yesu ili yeye huu mzigo aubebe kwa namna ya hili andiko lako lilivyo linakutoa kwenye uchungaji na kukuweka kwenye siasa moja kwa moja.

Mkuu unadhani ni kila mtu anaweza kuwa mchungaji? Wengine ni wachungaji wa pesa wakiona huku hakuna pesa za kuchunga wanakimbilia ambako wanaweza kupata pesa ili mradi mkono uende kinywani; ni WASAKA TONGE TU
 
Munishi Vs CCM



kama haya ya Munishi ni yakweli basi ulimboka, kibanda, mwanachuo wa bugando, kubenea na wengine wengi kama wangeomba wangelipona


Ramadhani njema
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuuuhh...namshauri aachane na siasa abaki na utumishi wa MUNGU kama mwenyewe alivyoimba kuwa injili siasa pamoja wala havichanganyikani
 
Pastor akomae na Malebo hadi aokoke siasa awaachie kina tibaijuka
 
Huyu alikuwa mwizi stendi ya mabasi Arusha amejipachika uchungaji?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom