VIDEO: CCM wananitishia maisha - Rev. Munishi

VIDEO: CCM wananitishia maisha - Rev. Munishi

Status
Not open for further replies.
Chizi na jambazi mkubwa hana lolote. Usikute polisi wa Kenya wanamfuatilia tokana na ujambazi wake.
 
Huyu Mchungaji na mwimbaji mashughuri wa nyimbo za injili ni miongoni mwa waliolalamika sana kutishiwa maisha na CCM. Alilalamika sana jinsi CCM itumiavyo dola kumtishia na kuitishia familia yake huko Arusha na Moshi. Kwa sasa huyu mchungaji yuko nchini Kenya akifanya shughuli zake za kidini na uimbaji.



kume huyu ndio alie imba Malebo miaka ya 90 aliwika sana na hiyo nyimbo ya malebo.ila kuna habari ziliwika enzi hizo alikuwa akitumia huduma yake kusafirisha madawa ya kulevya
 
Last edited by a moderator:
Munishi alikuwa anafanya siasa za kutumiwa badala ya kuhubiri injili akaanza kuhubiri siasa za chuki

Every human being is a political in nature, pia siasa inamgusa kila raia awe mchungaji, shehe au mpagani.
 
Hahaha...
Nimeangalia Clip nimcheka mpaka basi...

Katika Jina la yesu Kikwete ondoa usalama wa Taifa...
Katika jina la yesu Kikwete shetani shindwa....

Katika jina la yesu mungu....(Mungu mwenyewe baba yake wa kambo fundi seremala)


Akisha sema hayo alitaka afanywe nini, akijichanganya atashangaa.
 
Hii serikali ya wa ccm, inakotupeleka sipo, lazi ya viongozi wa dini ni kukemea maovu, so kama ameona yanayo fanywa na serikali hii yenye kila uozo na uchafu, acheni tu aseme.Binafsi nimechozwa na serikali ya Magaidi,
 
Nchi gani hii ukitoa maoni yako dhidi ya utawala unatafutwa unyofolewe kucha? Mchungaji ni raia kama wengine na anaathiriwa na mfumo wa chama cha zamani...je,si haki kwa mtu kama huyu kutoa maoni yake japo mara moja kwa mwaka?
 
Hazkuna mchungji mhuni huyu ni wle anotumwa na wanasiasa
 
Itafikia mahali sasa hawa TISS na polisiccm watakuwa wanafuatilia kila mtu aliyetofauti na mawazo ya ccm.

lakini hatushangai kitu chochote kinapopoteza uhai huwa ni kawaida kutafuta pa kujishikilia ili ijiokoe
 
Itafikia mahali sasa hawa TISS na polisiccm watakuwa wanafuatilia kila mtu aliyetofauti na mawazo ya ccm.

lakini hatushangai kitu chochote kinapopoteza uhai huwa ni kawaida kutafuta pa kujishikilia ili ijiokoe

nlikuona kule mirembe wodini umetoroka lini?
 
Mwigulu nchembaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Napeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Kinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Ritzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz! Mpooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom