VIDEO: CCM wananitishia maisha - Rev. Munishi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIDEO: CCM wananitishia maisha - Rev. Munishi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by macho_mdiliko, Mar 12, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,304
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Khutba hiyo wakuu.
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Yesu anapiga kura?
   
 4. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #4
  Mar 12, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,579
  Likes Received: 3,881
  Trophy Points: 280
  Duh! very touching!Sema sema sema mchungaji , wewe kweli pastor! wengine tulio nao ni 'ndiyo mzee'!

  Lakini ni kweli Munishi CCM wanakusumbua kiasi hicho?
   
 5. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mbona mtumishi wa Mungu confidence "0"?...Labda kisa wajiita pia Rais Matarajiwa wa Tanzania wenzako wadhani ni Rais wa Serikali kumbe labda weye wa maanisha ni wa TFF au wa Wanaupako/Televengelists!.
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Huyu tapeli kwanza kashamaliza kesi yake ya ujambazi au anaendeleza Nairobberry?
   
 7. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Siasa wewe Mchungaji zinakuhusu nini! Hujalisoma hata lile andiko linasema Ya Kaisari Mwachie......... Jamaa huyu tapeli mkubwa Niliwahi kuona kwenye gazeti lake asema Kikwete kuivamia Uganda Kusoma Habari Kitu kingine kabisa! Rudi Bongo kama wewe mwanaume kweli! Tuna matatizo makubwa na Kikwete wetu hapo sio mahali pa kuhubiri siasa
   
 8. ogm12000

  ogm12000 JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 311
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Hiyo ndio bongo kaka... Ukiongea kwa uhuru utaishia matatizoni.. Jamaa anavyoongea unaweza kudhani kachanganyikiwa...

  Lakini Kama unafahamu issue za kina Marehemu Prof Kighoma Ali Malima, Imran Kombe wengine wengi tu basi utaelewa kwanini huyu mtu anapiga kelele. Mnakumbuka yaliyompata Dr Masumbuko lamwai?.. Tanzania uhuru wa kuzungumza ni mdogo..

  Munisi uwa yuko free kuongea kila kitu, lkn TZ mambo hayako hivyo. Tusiwe biased na kulichukulia kama suala hili la kidini. Mimi ni muislam lkn hapa sioni sababu ya kupinga kwa kuwa munisi ni christian. Tanzania kila kitu kinawezekana freedom of speech hakuna.

  Regards
   
 9. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  huyu mzee haishi kulalamika!
   
 10. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2010
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Maoni ya mhariri

  Mkapa unatuaibishaKwamba Polisi nchini Tanzania wameanzisha zoezi la kukamata kanda za dini, hizo ni habari mbaya tena za kusikitisha. Inasikitisha zaidi kuona kuwa zoezi hilo linafanywa wakati huu wa uchaguzi mkuu. Hakuna sababu wanayoweza kuitoa kuhalalisha zoezi hilo ambalo vyombo vya habari vimeubandika jina la 'Operesheni waogopeshe waache kusema.

  Sisi katika gazeti la Injili tunalaani kitendo hicho kwa nguvu zote. Pamoja kuwa walioadhiriwa ni wasanii wa nyimbo za Injili na hasa msanii maarufu Faustin Munishi, sisi tunaliona hilo kama pigo kubwa kwa vyombo vyote vya habari. Nani ajuae kesho itakuwa zamu ya nani? Lakini jambo moja ambalo waliohusika ilitakiwa walijue ni kwamba, siku hizi ni vigumu kuzuia information isiwafikie watu.

  Tunaishi kwenye ulimwengu wa sayansi na Teknologia, na njia za mawasiliano zimekuwa nyingi ukilinganisha na wakati wa Nyerere. Watu walilazimishwa kuisikliza redio Tanzania, na kusoma magazeti ya Uhuru na Mzalendo. Yalitumiwa na chama tawala kuelezea sera zao za ujamaa na kujitegemea, ambazo zilishindwa kabisa na kuiacha Tanzania ikiwa moja ya nchi masikini duniani. Lakini pamoja na kuwa Tanzania sasa ina utitiri wa vyombo vya habari, huwezi kueleza tofauti, Waandishi karibu wote ni wale wale waliotoka redio Tanzania na magazeti yaliyokuwa yakijulikana kama magazeti ya chama na serikali, na ukiritimba wa chama kimoja bado haujawatoka.

  Tuna wingi wa vyombo, lakini ujumbe ni mmoja. Ni mpaka tuwe na waandishi wa kizazi kipya ambacho hakijapitishwa jeshini kupigwa msasa wa siasa ya ujamaa, ndipo tunapoweza kusema kuwa tuna uhuru wa vyombo vya habari. Ndiyo maana mageuzi ya kweli Tanzania yatachukua muda kwani wengi wa wasomi tulio nao ni wale wliokuwa hawafikiri. Nyerere akifikiri kwa ajili yao. Na hata kama walifikiri mzee 'haambiliki' asingewaruhusu kutoa mawazo yao hadharani. Yale tunayotaka kusema hapa ni kwamba, kama kweli tunataka mageuzi ya kweli, lazima tuache kabisa kuwategemea wale waliokuwa viongozi wakati wa Nyerere, kwani wanasema 'mbwa mzee hawezi kujifunza mbinu mpya.'

  Wanatumia mbinu zilizopitwa na wakati, badala kuinyamazisha hiyo kanda inayodaiwa kuwa ya uchochezi kwa kusema sera za Nyerere za ujamaa zilishindwa kabisa, sasa wameifanya kanda hiyo kuwa maarufu kuliko ilivyokuwa mwanzo. Sasa kila mtu anatamani kuinunua na kuisikiliza. CCM inaendesha shughuli zake kwa mtindo wa zamani wa kikomunisti ambao umepitwa na wakati. Ni mtindo huo ndio unaowafanya watanzania waonekane kuwa walikuwa wakimpenda Nyerere, na kumbe ukweli wa mambo walikuwa wanamuogopa. Wangempendaje mtu aliyewafanyia majaribio ya siasa ya ujamaa ikashindwa na kuwaacha wakiteseka?

  Ni ukweli usiopingika kwamba, hata viongozi ndani ya chama tawala walikuwa hawampendi Julius, bali walimwogopa. Nyerere aliwafanya watu wote kuwa wapelelezi. Baba anampeleleza mtoto, na mke anampeleleza mumewe. Na kwenye nchi ambayo kila mtu alikuwa na kazi kumpeleleza mwenzake, hofu ya kukamatwa na kuwekwa kizuizini ndiyo iliyokuwa inatawala na siyo heshima wala upendo. Tunasikitika kusema kwamba mwaka mmoja baada ya yule waliyemwogopa kufa, bado Mkapa anataka watanzania wamwogope. Lakini watamwogopea nini wakati dola haimwogopi?


  http://munishi.bizland.com/maoni.html
   
 11. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  This is a psychiatric emergency
   
 12. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Just like your Avatar teh teh
   
 13. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Teh teh kadata, na yeye ana jamii?
   
 14. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  They're different emergencies, mine's a "grooming emergency". Take note...
   
 15. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  wantanzania na unafiki, mtu akiwaamsha kimtazamo, anaanza kuitwa mlalamishi, nnnhuuu! ok, ngoja tuone
   
 16. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #16
  Mar 14, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Mmh kazi ipo,mwaka wa uchaguzi huu.mengi yataibuka.
   
 17. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Naomba unikome! Huo ulikuwa ni mtazamo wangu na sio mtazamo wa 'watanzania', ukome!
   
 18. I

  Imma01 Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nimekutana na haya Malalamiko ya huyu Mch. Munishi kwenye youtube....

  Magambaaa sasa jamaa wa watu yuko Kenya mnamtakia nini aiseee....

  Relaxx

  [video=youtube_share;AwkCgwc7VW4]http://youtu.be/AwkCgwc7VW4[/video]
   
 19. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu video hiyo ni zilipendwa ilikuwepo hapa JF kitambo sana. Lakini siyo mbaya kwa kukumbushia.
   
 20. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hebu wekeni ule wimbo wake wa MAGEUZI.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...