Video: Boss mchina apokea mkong'oto kutoka kwa mfanyakazi mwafrika

Safi Sana Tena kampapasa tu wangempiga sawasawa mpk akawa mwekundu

Kuna mmoja aliuawa kwa kuleta ngebe zake hivyo hivyo, muendesha kijiko alikuwa mwafrika mchina Yuko chini anafoka ovyo tu jamaa kanyoosha mkono kagonga kichwa na kachimba eneo lake pembeni akamfukia akaendelea na kazi, akajifanya hakumuona kumbe alikusudia kabisa, tangu hapo wachina hawasogei karibu na mashine kubwa zikiwa kazini,
Aisee!
 
Back
Top Bottom