DR. MWAKABANJE
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 1,986
- 3,151
Shule yenyewe isiwe hii yenye hirizi za CCM na mwenge!tatizo shule mkuu
Shule yenyewe isiwe hii yenye hirizi za CCM na mwenge!tatizo shule mkuu
Hao wanawake vilaza waliokuwa wanashangilia ndio mtaji wa ccm na pengine kufika pale walikodishiwa maroli.Nimesikitika na kuhuzunika sana nilijaribu kuwa ktk viatu vya huyu mkuu wa idara wallah imenisononesha. Inawezekana kuna majibu mazuri angeweza kuwa nayo na pengine ni mtendaji mzuri aliekosa kueleza anayoyataka muheshimiwa. Najua kuna uwezekano mkubwa wa huyu mkuu wa idara kukosea data lkn haikupasa afanyiwe haya. Tunao utaratibu maalum wa kushughulikia mambo kama haya. Hivi tujiulize kama mkuu wa mkoa angewapa nafasi ya kumpa data kamili ingeharibu nini. Kisha nashindwa kuelewa hivi kila lalamiko ni mgogoro? Maana kama nimesikia vizuri mkuu wa idara kaulizwa kuhusu Migogoro na si malalamiko ambayo mkuu wa mkoa anatakwimu zake. All in all RC hakuitendea haki nafasi yake. Hakuthamini thamani ya utu wa mtu kwani hata pale mtu alipoanguka bila kujua amepata athari kwa kiasi gani aliimba nyimbo kuonesha alichokifanya yuko sahihi. Wananchi pia wamenifedhehesha sana wakati mtu ameanguka akipigania uhai wake watu wamekosa ubinaadamu wakaanza kushangilia... Upo wapi upendo wetu....
Hoja yako ni mfu mkuu wangu. Ebu fikili kila mtu akijiari nani atatufundishia watoto wetu mashuleni, nani atatutibu tukiumwa, kiujumla nani atahukuhudumia pale utakapokuwa na shida ofisi fulani serikalini?Kama unaamini wewe ni msomi na bado unaendelea kuongozwa na mtu unayeamini siyo msomi na anakidharirisha basi wewe ndiyo mjinga kwanini usijiajiri??
Ili kuepuka madhira kama haya, kama wewe ni hard worker na risk taker, kuna mambo mawili yatakayokufaa. Kufanya Kazi private ama ujiajiri mwenyewe! Mambo ya kusimamishwa hadharani kama haya na kutishiwa ugali wako yatakuwepo kidogo sana!
Una uhakika gani na hiki wewe.Ungekuwa umedhurumiwa ardhi kwa utapeli wa watendaji usingesema hivyo ..... Yy kazimia 1 ila kuna mamie nyuma yke amewaliza na kuwazimisha hawakurushwa na media ungeona huruma.
Kabisa mkuu huu ni udhalilishaji mkubwa sana.Ili kuepuka madhira kama haya, kama wewe ni hard worker na risk taker, kuna mambo mawili yatakayokufaa. Kufanya Kazi private ama ujiajiri mwenyewe! Mambo ya kusimamishwa hadharani kama haya na kutishiwa ugali wako yatakuwepo kidogo sana!
Ni afya ya mtu... Kuna watu hawapendi kabisa habari za kushtukiza, zinawaletea madhara kama hayo... Wengine hupoteza maisha kabisaIla hawa wakuu wa Idara nao ni mafala sana. Unazimiaje kiboya namna hiyo?
Mbona Bungeni hakuna maswali ya kutunga hapo hapo?Kuna watu ni wajinga na watumwa wa elimu zao, huwezi kuniita kuniuliza maswali ya kijinga mbele ya watu halafu utegemee nikujibu unavyotaka wewe tena mambo muhimu sana yanayohitaji umakini wa kuyajibu.
Hii imla wanayofanyiwa na kumchekea huyu ni upuuzi na udhalilishaji mkubwa, kama waliajiriwa wafanye kazi majukwaani ingekuwa vizur, kuna watu wanatakiwa wafatwe ofisini kwao waulizwe kupitia takwimu walizo nazo kwenye mafaili na sio kuulizana mbele za wati tena wanaoshangilia na kuzomea.
Utendaji wa aina hii uliisha baada ya vita kuu ya pili ya dunia na hapo tukawapoteza kina Hitler na kuanza ustaarabu mpya wa kuongozana.
Mi ni Lawyer kwny Ofisi yetu kesi zinazoongoza ni Ardhi na mm ndio nashughulika na Land case, zinafuatia ndoa (family+probate), torts, n.kUna uhakika gani na hiki wewe.
Andika vizuri ueleweke, kama unataka ulinganishe maswali ya bungeni na haya ya mkuu wako basi tumia muda wako kujifunza utaratibu wa kuuliza maswali bungeni ukoje na kama unataka useme mawaziri wanaulizwa ya kutungwa hapo hapo ukiachilia mbali utaratibu wa kumuuliza PM maswali ya papo kwa papo siku ya alhamisi basi kajifunze mwenyewe.Mbona Bungeni hakuna maswali ya kutunga hapo hapo?
Nikpe mfano kesi niliyonayo meza H/W fulani imeingia kwny shamba la kaya 1 lenye zaidi ya ekari 11 na kujenga shule ya sekondary ya kata mwaka 2015 bila utaratibu wwote ulioweka na sheria Sura ya 118. Na sheria Na. 5/1999 na hiyo familia baba alishafariki mama (mjane) yupo na hajui kusoma.Una uhakika gani na hiki wewe.