Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 13,691
- 29,013
Hata mimi nashangaa. Limesinyaa. Yani mrangi mimi ningekuwa, kwenye hizo nafas za, juu hao viti maalumu yani na vunja kabisa hazina bila huruma na mega hata a third of national badget. Yani Mungu mjanja amenibakisha tu hapa mshahara wa 60K$ + after tax kwa mwaka.Hahaha siku hzi naona chura lake halija kaa vzr
Yuko minyamanyama...
Ova