Vicky Kamata: Rais Samia hawezi kutibu majeraha, viongozi wa dini wagange mioyo ya watu, wamejeruhiwa

Hahahhaa hawa wanaojificha kwenye viti maalum karibia wote wauza mbunye! Hata huko chadema ni yale yale! Kwa hiyo JPM aliikataa mbunye ya Vicky ikawa taabu! Mpka ameamua kubweka kuwaomba Viongozi wa dini wagange mioyo ya wauza K!
Hii viti maalum ingeondolewa tu

Ova
 
Mnafiki mkubwa huyo mbona hakuthubutu kuyasema haya Hayati alipokuwepo ili akione cha Moto vizuri?

Kwahiyo alitaka Hayati nae ampende na hata amtongoze kama alivyotongwa na Mstaafu Mswahili wa Chalinze ambaye alimwandikia namba yake ya Simu katika Simu yake katika Hafla ya CCM Mwanza Hotel 2006 ndipo akawa nae Kimahusiano na mpaka kumpa Vyeo mbalimbali Benki Kuu, katika Taasisi nyingine na Kumpambania awe Mbunge wa Viti Maalum?

Tena angekuwa na 'Akili' angenyamaza.
Walijua jiwe na yeye ni mpenda totoz hovyo hovyo
 
Mnafiki mkubwa huyo mbona hakuthubutu kuyasema haya Hayati alipokuwepo ili akione cha Moto vizuri?

Kwahiyo alitaka Hayati nae ampende na hata amtongoze kama alivyotongwa na Mstaafu Mswahili wa Chalinze ambaye alimwandikia namba yake ya Simu katika Simu yake katika Hafla ya CCM Mwanza Hotel 2006 ndipo akawa nae Kimahusiano na mpaka kumpa Vyeo mbalimbali Benki Kuu, katika Taasisi nyingine na Kumpambania awe Mbunge wa Viti Maalum?

Tena angekuwa na 'Akili' angenyamaza.
Umesahau kuwa alizaa mtoto naye
 
Wanawake wengi waki bongo wamezoea kuishi Kwa kutumia mwili kwa Viongoz ili mambo yao yaende sasa wakikutana na bandidu hata mwili wako lazma wakuone katili
 
Hivi unadhani ni kwanini Mkapa haongelewi sana kwa mabaya au mazuri aliyoyatenda ?!.

Jiulize ni kwanini Jiwe lako linazungumzwa kwa ukatili !!.
Mkapa alizungumzwa sana JK alipoingia. Alichafuliwa kuliko unavyodhani. Alishawahi kupigwa mawe na vijana kule masaki kwa kuambiwa alisababisha maisha magumu.

Kuna wakati aliandamwa hadi wakasema ashitakiwe. Ilifikia hatua alitakiwa pia aende mahakamani akatoe ushahidi wa kesi ya profesa mahalu ambaye alikuwa balozi italy wakati mkapa alipokuwa rais.

Ni suala la muda tu Magufuli atainuliwa kwa wengi zaidi.
 
Huyo nakwambia anatokea Bukungu Nyang'hwale geita kwa babu yake wajomba zake ni akina Ndikilo mkuu wa mkoa wa pwani wa zamani! Mjinga sana huyu!

Kweli unamfahamu na mjomba wake mwingine ni Padri,sijui huwa hawamshauri,ana mambo ya hovyo hovyo tu tangu zamani.
 
upo sahihi,mi naona huu msemo wa duniani tunapita 7unatumiwa vibaya,jiwe alikuwa katili ndio na alijua atapita tu so kifo kisitumiwe kama kumsimanga mtu
ya jiwe yameisha watu wamuache tuendelee na mengine hata wakisema the Guy is no more na hasikii chochote
bora Lissu na kina Lema na Mbowe walimpa za uso akiwa hai na alizisikia,kusema mtu hayupo hakubadili chochote
Mkuu Jiwe ataendelea kusemwa sio kwa maana ya yule alielala hapana ni yule anaeishi kwenye mioyo ya wafuasi wake sukuma gang and the like for years to come yaani sijui ataachwaje kusemwa wakati kaacha vidonda na makovu kibao miongoni mwa Watanzania hataachwa yule mwovu inabidi tuvumiliane tu.
 
Back
Top Bottom