dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,496
- 3,461
Kuna jambo moja sijui iwapo watu wengi wanalijua.
Binafsi tulifahamiana na Dr. Servacius Likwelile (RIP) mwanzoni kabisa mwa 1990's (ninadhani 1991) wakati akifundisha Industrial Economics UDSM, akiwa na Masters na akisoma PhD.
Kuna wakati, mwishoni mwa 1990's, Dr. Likwelile alifulia, mke wake wa ndoa aka-riot, hata Dr. Likwelile alihama nyumbani na kuja kupanga makazi maeneo ya Riverside, Ubungo, akiwa analewa sana pale Riverside Bar maarufu ya Bwana Mrema.
Ilifika wakati kwa tuliofahamiana naye, ukifika pale unam-bypass asikuone maana yeye pamoja na Prof. mmoja wa history miaka hiyo pale UDSM walikuwa wanalewa sana, wakizungukwa na ma-barmaids mpaka wanakera.
Maisha ya Dr. Likwelile yalianza kubadilika tena miaka ya mwanzo ya 2000 (2002/3?) alipoteuliwa kuwa CEO wa TASAF.
Ninakumbuka jioni moja nilipokutana naye pale Riverside Bar akanipatia business card yake kuashiria amepata kazi mpya TASAF huku akinisihi nikimtembelea huko ofisi mpya, niwe 'makini' - alikuwa ameanza mkakati wa kufuta historia.
Mwaka 2004 tulikutana tena na Dr. Likwelile Harare, Zimbabwe alipoalikuwa amealikwa kwenye regional workshop iliyoandaliwa na Mtandao wa AFRODAD ambapo mimi nilikuwa ninawasilisha report ya utafiti kuhusu deni la taifa (Tanzania) nikiwa Tanzania country researcher wa Afrodad.
Ninakumbuka kuna wakati Dr. Likwelile aliniambia watoto wao walikuwa wanasoma Malawi na concern yake ilikuwa watoto hao kudhuriwa na ugomvi kati yake na mkewe, ambaye baadaye alikuja kufariki.
Dr. Likwelile baadaye alikuja kuteuliwa Naibu Katibu Mkuu, na kisha Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango ya Uchumi (MOFEA).
Sijui lini alikuja kuoana na Vicky Kamata, lakini ninakumbuka 2018 nilikutana na Dr. Likwelile akiwa na mkewe Vicky Kamata na binti yao (umri kama miaka 4 hivi) nikiwa kwenye matibabu pale Regency Hospital akanitambulisha kwa mkewe, nikimwambia kutojali mambo ya siasa za Magufuli (alikuwa ameanchishwa/fukuzwa kazi unceremonoiusly) na kumshauri arudi kufundisha UDSM.
Sikupata taarifa zake tena hadi alipofariki kwa COVID 19 2021 kama miezi 6 hivi baada ya serikali ya Magufuli kumuwekea ngumu asiajiriwe na Economic Commission for Africa (ECA), yeye na [Balozi?]Mama Mulamula.
Nimeandika yote haya kubainisha unfairness ya hukumu ya mahakama dhidi ya Vicky Kamata kuhusu mirathi ya mumewe, Dr. Servacius Likwelile.
Aidha, hatuwezi kumlaumu Dr. Likwelile kutokuandika wosia kwa kuwa kifo chake (COVID 19) kilikuwa cha ghafla. Mashirika kama @TAWLA, @WLAC, @TLS, @THRDC au @LHRC hayapaswi kuwa wanafiki. Wamsaidie Vicky Kamata apate haki zake za mirathi ya marehemu mume wake.