Vichwa Hivi vya Azania Viliishia Wapi?

Vichwa Hivi vya Azania Viliishia Wapi?

Dah mumenikumbusha mbali sana .Aisee na mie nlipita azaboy 1999-2002.Tena tuit ya namba nlipga kwa dr weins.Kuanzisha jukwaa la azaboy naunga mkono.Dah aisee nimeamin JF ni zaid ya tuijuavyo

Dr weinz nlikuwa nakwenda tandalale/magomeni kununua paper zake za hesabu alafu nasepa
 
Wana Aza Boyz, Hususani waliosoma mwaka 1999-2002 mnamkumbuka jamaa mmoja alikuwa akiitwa Charles Lekule?? Jamaa katangulia mbele ya haki hapo March 2013 aakiwa Assistant Lecturer pale IFM. Mungu amlaze mahala pema peponi, Ameen

nimemkumbuka charles.....pole kwa kisura flora
 
Kumbe wewe mwanafunzi?
Concentrate on ur studies, hii JF itakulostisha.
hamna bana jf imenisaidia kupata habari muhimu sa kimasomo pia napata ujuzi mwingi kwa kupitia michango ya member humu. cha msingi ni kupanga tuu mda wako vizur
 
Kweli kabisa,Sebastian ndege alikuwa mbele yangu kwa kidato kimoja. Nilikuwa monitor form 1L mwaka 1992 sitasahau nilipigwa ksbb wababe walininyang'anya sufuria la nyama Na kabichi wakaniachia Ugali ndio niugawe kwa watu wa class,

Wao wakaenda Na mboga jangwani secondary,huyu batman Na delphinius alphonce sitawasahau mpaka nilivunjika mguu, Na umonita nikauacha.
nlikua sijazaliwa, shkamoo.......baba/mama
 
dah oy mabraza na sie wa miaka ya mwshon mwa elf mbili hii haituhusu au mana naona miaka ya hatar hatar tu wengne tlikuwa hatpo dunian,,
 
Kumbe hivi vichwa vya juzi tu. Nilifikiri vichwa vya zamani enzi za ANDREW KWAYU.
Mtiga form four 1993 ndio juzi, labda lakini kwako. Yaani mmenikumbusha mbali sana, Azani ilikua na vichwa vingi sana almost vichwa vitupu, naamini vingetu ika vizuri kwa kuwekewa mpango mahsusi vingesaidia sana taifa.
 
+ Mama Idi
Huyu mama alikua anapiga geograph sana, alianzisha bustani basi ukiwa member anawawekea msosi mnakula bila bila vurugu. Nakumbuka sana ugali nyama unaweka mchuzi kwnye kikombe usimwagike kwenye vagi, dah, enzi zile
 
Yap yap WENZI MAN...Jamaa nasikia mlevi wakutupwa daa alikua kichwa sana jamaa One ya Point 7 azania ni nomaaaaa Haitokeagi hii makitu,zinaanziaga 8 na 9 lkn yeye alipiga!!
Kuweka kumbukumbu sawa, point 7 zilikuwepo tu, 1993 Mtiga, 1997 Tumainieli Eliniangaze na Ahmed Abdalah, 1998 ndio huyo Wenzi japo alijivumisha sana ndio maana watu wanafikiri ni yeye tu, 2002 Leodgard Benedict na alienda Kibaha PCB, na 2005 alipiga point 3.
 
Masikin DMX msela mavi kawa dereva wa daladala alifail mtihani wa form 2 ila mtiga anafundisha tuition AZABOY mhuri wa kijani raman ya Afrika mfukon mwa shati.School anthem tone tamu kushinda National anthen ya USA.
Mtiga yupi mkuu Omar Mtiga aliyemaliza o level 1993? nini kilimtokea, maana alipata scholarship akaenda UK baada tu ya kumaliza o level, au kulibuma?
 
Mimi sitasahau wanafunzi waliomaliza o-level mwaka 1997, waliweka rekodi ya division one 124, rekodi hii haijavunjwa mpaka leo hapo Azania. Tena wawili kati yao walipata one points 7, mmoja kati yao ya waliopata one ya 7 ni member wa Jamíi forum.
Zilikua 125 mkuu au mimi ndio nimekosea?
 
Kuna maticha hawa:
Matley-Hesabu
FUVU-Hesabu
Matawa-Kiswahili & Geograph
Mgude-Chemistry
Mkongo-Physics
Hivi Tokyo(jina alilipata kwa ajili ya kuvaa suruali za Tokyo) hivi anaitwa nani jina lake halisi na alikua anafundisha somo gani?
Tokyo nakumbuka jina moja tu Edwin, alikua anfundisha history, enzi hizo Azaboy inashindana kitaaluma na Mazinde, Mzumbe nk, sasa hamna kitu
 
Kongosho alimaliza o-level Azania mwaka 1997 na akapata one ya points 7. Ni mmojawapo ya wanafunzi 10 waliokula chakuka cha mchana na waziri mkuu Fredrick Sumaye kipindi hicho. A-level alipelekwa Ilboru na alichukua mchepuo wa PCM, huko akafumua one ya points 3. Akaingia chuo kikuu mwaka 2000 na facult aliyosoma ni Telecom. Akagraduate na kupata first class, akachaguliwa awe lecture hapo chuoni lakini akakataa kwani alipata schoraship ya kusome Masters ya Telecom nchini India. Baada ya kumaliza kuchukua Masters akachukuliwa na Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom. Kwa sasa ndie fundi mkuu pale Vodacom. Je unahitaji kumfahamu Kongosho zaidi? NIULIZE. Nina full data za huyu jamaa.
Waiomaliza 1997 na kupata point 7 wote walisoma PCB nadhani kuna kitu umekosea, ila 8, 9 10, 11 zilikua nyimgi tu
 
1. Wale maticha waliokuwa wanauza past papers - Mosha na mwenzake wako wapi?

2. Mwalimu Hatibu aliyekuwa anajulikana kama 'Ibara' kutoka na kunukuu 'Katiba' naye kaishia wapi?

3. Kulikuwa na ticha kichwa wa kemia alikuja miaka ya 90, anaitwa nani?

4. Ticha wa PE aliyetupigisha mazoezi ya mpira naye anaitwa nani?
Ticha wa chemistry alikua anaitwa Ernest, nilikutana nae mlimani 2001 alienda kusoma degree
 
Back
Top Bottom