Vichwa Hivi vya Azania Viliishia Wapi?

Vichwa Hivi vya Azania Viliishia Wapi?

Major General Lupogo...mkuu wa JKT Azaboy class of 1965-1968.
 
umeshajua kasoma azaboy halafu unasema shikamoo mama?
Mtoto unahitaji kujitathmini...
im am sorry id zinachanganya si unajua kila mtu ana comment so siwez jua kama alikua aza boy. Sorry for mistakes sir
 
Kuna Jamaa flani Hivi alikuwa mlokole mtu wa morning talk sana anaitwa "Reuben Shilli" yupo wapi Huyo mtu.?


✅Azaboy imebaki jina tu,1997 one 124,two 98 ilikuwa noma,Baada ya hapo ikaanza kurudi nyuma.

Nilikuwa nakuja kupiga twitwi za Lindugani E.L Nililile.
 
Kuna Jamaa flani Hivi alikuwa mlokole mtu wa morning talk sana anaitwa "Reuben Shilli" yupo wapi Huyo mtu.?


✅Azaboy imebaki jina tu,1997 one 124,two 98 ilikuwa noma,Baada ya hapo ikaanza kurudi nyuma.

Nilikuwa nakuja kupiga twitwi za Lindugani E.L Nililile.

hongereni aza ila napata shida sana kwa matokeo mliyokuwa mnapata. sengerema tulikuwa tunapiga shule hatari lakini one kali zilikuwa zinaishia tisa kwa umbali sana nane. nakumbuka kuna mshikaji alitoka aza kuja sengerema na one ya kumi pcb, mwisho wa siku alikimbia eti mazingira magumu
 
Mr Kwayu nimekutana nae juzi maeneo ya Sanene Segerea..kastaafu..aisee tuliongea mengi na mkuu na kukumbusha enzi zile...yuko peace sana the former Headmaster
 
Mkongo........lutwaza....madam Darphy.........mkuu kwayu......baraza kule maabara ya biology........hussein mihogo kule nyuma forest.......beka.....shebby kipandezo......john mbawala.........Dogo tiff.......mbwela.......DMX........simon black.......kimarija........mbuna........man otega......kisamo........and the list goes on.....!Nikikumbuka hadi natamani nirudishe siku nyuma niishi tena ule wakati .......maana .......azania was my home kwakweli.......kumaliza haikuwa rahisi........its me.....azaboy with coded name zifuatazo Samclick.....zinja.......au pantalon.

hiyo sio class ya 2002/05 mkuu?? azaboy forest
 
Huyo jamaa anaitwa IGNAS JOHN MPUNGA nilisoma naye darasa moja form one hadi four Azaboy lebo Nyekundu,

pamoja na kuwa alikuwa anadai kwamba ameokoka lakini ilikuwa dhahiri kwamba ana Pepo la Sifa!! Anaishi Mwanza amefunga ndoa mwaka jana,anafanya kazi kwenye shirika fulani yeye ni Monitoring and Evaluation Specialist!!

He is irritatingly immodest!

huyu jamaa ni Mchungaji sasa...
 
Oyaaa nyie John visomo mnazogoa!..masela tulikuwa sie tuliosoma Lugalo kabla haijawa Makongo!
Full suti ya mabati,mngeweza nyie?
 
Dah! Shela beach, umenikumbusha longi kichizi wangu.

MARCO alikuwa bro wangu aisee, bahati mbaya sana pamoja na kuwa kichwa sana kwenye number (mimi alinipigia CALCULUS I & II) ali-disco pale UDSM. Ila kwa sasa ni financial analyst pale HAZINA Makao makuu
 
Back
Top Bottom