Vichwa Hivi vya Azania Viliishia Wapi?

Vichwa Hivi vya Azania Viliishia Wapi?

Huu Uzi wa AZania umenikumbusha mbali saaanaaa.KWa wale waliokuwepo pale miaka ya mwanzoni 1990,mnaweza kunijulisha yuko wapi mr mgololo, huyu Jamaa alipewa hili Jina kwa kuwa alikuwa maarufu kwa kuuza karatasi (rough paper) kwa ajili ya kusovia maswali, pia kuna Jamaa alipewa Jina la bingwa,

yuko wapi,manake alikuw na kitu Kama Mguu wa mtoto mdogo,alikuwa anakaa palepale hostel za shule.Muuza mihogo ya kukaanga na juice za ndoo bwana kingo,alikuwa mtu wa kuchomekea,nakumbuka kuna wakati inasemekana alimla sister duu mmoja wa shaban robert alikuwa anakujaga tuition pale AZania kwa Mwalimu matrei.

yule mwalimu wa fine Arts mr mrope bado yupo Azania?

pia kuna Jamaa alikuwa anaitwa panga la Shaba tokana na mdomo wake ulivyokuwa Kama kikatuni cha panga la shaba, Cheka na nipashe name yuu wapi.

kwa wale waliomaliza 4 1993, kulikuwa na vichwa viwili matata kwa kupasua manyanga,Kimoja group A na kingine group B, wote walikuwa wanaitwa salvatory,wako wapi hawa Jamaa.

vilevile azaboy haikuwa nyuma sana kimichezo,soka nakumbuka walikuwepo kina jagina,china,mdogo wake athuman china wa yanga, raha,herman n.k wazee wa mpira wa meza. Rahim kipingu,hamza(alikuwa anaishi kinondoni),uncle Tom hawa wazee wa kudanki.

Mzee kente nasikia alifariki kitambo,Mungu amlaze mahali pema peponi.
 
Mdudu na chapa mamba nawakumbuka kwenye late 1999..kina mirambo wapo na page yao Azaboy forever kwenye facebook mnaweza kuitembelea tukuutane na classmates wetu.
 
1. Wale maticha waliokuwa wanauza past papers - Mosha na mwenzake wako wapi?

2. Mwalimu Hatibu aliyekuwa anajulikana kama 'Ibara' kutoka na kunukuu 'Katiba' naye kaishia wapi?

3. Kulikuwa na ticha kichwa wa kemia alikuja miaka ya 90, anaitwa nani?

4. Ticha wa PE aliyetupigisha mazoezi ya mpira naye anaitwa nani?[/QUOTE
Kuna yule Mr PRIMUS wa ma past papers. Mr Salum wa Michezo..na kuna yule mnoko Lindugani mlilile.
 
Kobe, nadhani wewe tulikuwa wote intake ya 1999-2002. Salum S. Salum yupo Wizarani Idara ya Michezo Secondary, Lindugani mzee wa Namba alipewa ukuu wa Shule ila siikumbuki ni shule gani. Kwa sasa mwl. Hatibu yupo DSM ila sio Azania, sijui anapiga kazi wapi kwa sasa
1. Wale maticha waliokuwa wanauza past papers - Mosha na mwenzake wako wapi?

2. Mwalimu Hatibu aliyekuwa anajulikana kama 'Ibara' kutoka na kunukuu 'Katiba' naye kaishia wapi?

3. Kulikuwa na ticha kichwa wa kemia alikuja miaka ya 90, anaitwa nani?

4. Ticha wa PE aliyetupigisha mazoezi ya mpira naye anaitwa nani?[/QUOTE
Kuna yule Mr PRIMUS wa ma past papers. Mr Salum wa Michezo..na kuna yule mnoko Lindugani mlilile.
 
kuna Jamaa mmoja alikuwa ana masifa sana anajiita Mtumishi, jina kamili kama sjasahau alikuwa anaitwa Ignas, sjui aliishia wapi? A level alipangwa Tosa akawa anadai wamemfanyia majungu ye ni wa mzumbe!


Huyo jamaa anaitwa IGNAS JOHN MPUNGA nilisoma naye darasa moja form one hadi four Azaboy lebo Nyekundu,

pamoja na kuwa alikuwa anadai kwamba ameokoka lakini ilikuwa dhahiri kwamba ana Pepo la Sifa!! Anaishi Mwanza amefunga ndoa mwaka jana,anafanya kazi kwenye shirika fulani yeye ni Monitoring and Evaluation Specialist!!

He is irritatingly immodest!
 
Dah, kweli Azaboy taifa kubwa,..!!! Tulikua tunaita shamba la wani(shamba la div.1).! Azania of today, Azania Yesterday, Azania forever, we will always say, you are known far and wide, you are always our guide we will never forget you.!
 
Dah,
Bila kumsahau mwalimu Amos (kama sijasahau alikua mwalimu wa nidhamu)......
Wakuu wa enzi hizo mpooo ?

Du! umenikumbusha mbali. Jamaa kwa kuchapa fimbo alikuwa balaa. tulikuwa tunamwita kicheche kwa jinsi alivyokuwa ananyatia utadhani hajavaa viatu......baadaye walimhamishia wizarani.
 
Nasikia eti BABU naenda Harvard kwa mwenye ufaham atujuze hili... pia msisahau kumweka huyu kwenye list Peter kichog yaan huyu jamaa kapga 1 ya 8 mwaka wa majanga 2012
 
Vp mkuu unamzungumzia yule jamaa aliyekuwa anafundisha TUITION mitaa ya Magomeni enzi zile?
Kama ni huyo anaitwaaaa.......ah! nimemsahau ila namkimbuka, alimaliza kipindi kile ANDREW KWAYU akiwa headmaster.
Alikuwa anaitwa Weins Man Mkoromboka kichwa kidogo akili mia
 
...uzi mtamu sana na umenikumbusha mbali sana,been thea ...96-99
 
Mdudu na chapa mamba nawakumbuka kwenye late 1999..kina mirambo wapo na page yao Azaboy forever kwenye facebook mnaweza kuitembelea tukuutane na classmates wetu.
chapa was my clasmate,96--99,mtoto wa urafiki alikuwa shidaaa
 
Daahhh...Mi nilimalizaa 2008 aseee...kuna watu humuu baba zangu yaan..
 
sisi wa shule za kata inabid tusome tu huu uzi bila ya kukoment chochote 🙂🙂🙂
 
Back
Top Bottom