Mpigie simu mwenyeweNasubiri ufafanuzi wa mbowe kuhusu faru john.
Mpigie simu mwenyeweNasubiri ufafanuzi wa mbowe kuhusu faru john.
Mpigie simu mwenyewe
"Malaya" wanahangaika kutafuta wa kumchuna!Aliyekuwa Katibu mkuu wa CHADEMA kabla ya kuhamia CCM, Vincent Mashinji amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam...
huyu ndiye chaguo la mwenyekiti sasa.
CCM lialia kwisha habari yao!
Kwa kawe idadi inatisha, yako majina Ni mazito has a, wasiwasi wangu watalogana sana wagombea, mdee atapita kati yao.wagombea 180+ unakosaje mgawanyiko?
Hiyo laki aliyopoteza ni Bora angewanunulia familia yake kiroba cha mchele cha kilo 50.Aliyekuwa Katibu mkuu wa CHADEMA kabla ya kuhamia CCM, Vincent Mashinji amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam...
Hii hoja ya wasukuma hili wasukuma lile kusema kweli siipendi kuisikia. Hii inaashiria kuibuka kwa hoja ya ukabila hapa nchini. Nawaomba wahusika wasipuuzie hili.Safari hii WASUKUMA wote wanataka ubunge
Kwani wanalala njaa??Hiyo laki aliyopoteza ni Bora angewanunulia familia yake kiroba cha mchele cha kilo 50.
safi sana,mleteni tumuonyeshe kilichomtoa kanga manyoya.Huyu ndo haswaa anaetakiwa na mkuu awepo pale.
Kwani wanalala njaa??
amuwezi nyinyi.kwanza mpaka sasa hamjajipanga.safi sana,mleteni tumuonyeshe kilichomtoa kenge manyoya.
hahahah gusa moja uone mbili.amuwezi nyinyi.kwanza mpaka sasa hamjajipanga.
Kwanza huko tuna muwakilishi wetu mbobezi.mpaka hapo tumemaliza kazi.hahahah gusa moja uone mbili.