Uchaguzi 2020 Vicent Mashinji achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM

Kawe itakuw na wagombea 180+ , watu wanalilia marupurupu ya ubunge...wamegundua ccm usiposhinda unashindishwa
Mtu anapewa mafao alishaacha ubunge,lazima watu watamabi kuona hata ukifukuzwa ccm bado mafao ubaitiwa tu
 
Hawatapata walichoahidiwa na kama watapitishwa ndipo watajua huku mtaani kuna mahakimu watawaadhibu vema wasaliti kwenye sanduku la kura.
 
Kwahiyo alikuwa anasubiria na ' Kuvizia ' asikie wapi Mtu aliyekuwa akitajwa mno Kugombea Kawe RC Paul Makonda aliache ndipo nae agombee?
 
Kawe itakuw na wagombea 180+ , watu wanalilia marupurupu ya ubunge...wamegundua ccm usiposhinda unashindishwa
Nadhani wengi wa hawa wanaojitokeza wameambiwa kwamba sharti kubwa la kufikiriwa kwao katika teuzi mbalimbali baada ya uchaguzi (wakiamini ushindi ni wao), ni kuonyesha nia ya kugombea.

Usipojitokeza sasa uonekane, hakuna atakayekukumbuka huko mbele ya safari.

Ndiyo maana ya mrundikano huu.
 
Back
Top Bottom