Vibonzo vya mtume mohamadi mjini texas

Vibonzo vya mtume mohamadi mjini texas

Status
Not open for further replies.
Waisrael na mtume au uislam vimefikaje hapa! Mara ngapi yesu anachorwa na kuitwa mwizi wa mbao na nyie wapinga Kristo, na wakristo wakiwavumilia na kumwomba Mungu wao awatendee awezavyo yeye nyie hizo nyege za kumpigania mtume kwa kumwaga damu za watu mnazipata wapi?

Imeandikwa kuweni WAKALI KWA MAKAFIRI.Nando kinafanyika.Tuwe ubwabwa kama nyie ambao biblia imesema asiwepo mwanamke kiongozi wa dini,lkn Ndo kwanza mnajazana wawaombee(mama lwakatare).Usodoma na ugomora umejazana makanisani mpaka ndoa mnafunga afu mnajifanya mmeelimika na ustaarabu kumbe bure.Kwa matendo yenu haya...bora mnyama mbele ya mungu kuliko nyie.
 
mimi ni mkristo ila sijachukizwa na kibonzo hiki..
ningepata nafasi ya kuwashauri ningeshauri watoe toleo la kiswahili ili nifaidi ziadi.

unapenda pia mwanao anaekwenda sunday school aone hicho kikatuni?,akikuuliza swali kuwa hapo yesu anamfanya nini mungu utajibu nini?
 
Duh sasa hii ndio nini! mtu akichora mtume kabang anauliwa. ukikataa dini yao kabang unauliwa. sasa huyu mtume anayetetewa kwa kuuwa watu anapeleka watu ahera au kuzimuni. naamini hao wauaji wamepotoka sio mafundisho ya dini yao
 
Charlie-Hebdo-cartoon3.jpg
.
jamaa bana,eti huyo wa mbele ni mungu,halafu wa nyuma yesu(cheki alama za misumali miguuni na mikononi,kisha taji).
halafu kwenye masabuli ya yesu kuna pembetatu ya freemasoni.
jamaa watata

Nimejikuta nacheka vibaya sana!
 
Charlie-Hebdo-cartoon3.jpg
.
jamaa bana,eti huyo wa mbele ni mungu,halafu wa nyuma yesu(cheki alama za misumali miguuni na mikononi,kisha taji).
halafu kwenye masabuli ya yesu kuna pembetatu ya freemasoni.
jamaa watata

Pamoja na kibonzo hiki hakuna mkristo aliyechukua silaha yake akaenda kuwapiga risasi wachoraji wakristo wanamuachia Mungu na kuwaombea awasamehe maana hawajui walitendalo
Hiyo ndo tofauti ya uislamu na ukristo
 
unapenda pia mwanao anaekwenda sunday school aone hicho kikatuni?,akikuuliza swali kuwa hapo yesu anamfanya nini mungu utajibu nini?

nitawaambia ni vibonzo na pia nitawasisitiza kuwa wakikua wataujua ukweli zaidi.
NB:
watoto wangu hawaendi sunday school wala sijawabatiza kama mimi nilivyobatizwa.
wakifikisha miaka 18 watachagua dini na uraiya wanaotaka wao.
 
dini zingine bana wanauakika gani kama hiyo nikatuni ya bwana muhammad wakati hakuna anemjua
muhamadi kwa picha ,kweli hii dini wanaulemavu waakili
wewe ndio tatizo, michoro inaitweje kama unafatilia?
 
Pamoja na kibonzo hiki hakuna mkristo aliyechukua silaha yake akaenda kuwapiga risasi wachoraji wakristo wanamuachia Mungu na kuwaombea awasamehe maana hawajui walitendalo
Hiyo ndo tofauti ya uislamu na ukristo

wakristo hasa wakizungu kuchokozeka sio rahisi kwani imani yao hawaichukilii serious.
ila mfano huku waje na picha hizo za yesu wawe wanafanya na semina na makongamano na pia maonyesha ya picha kama hizo hadharani.
kina ngwajima wasipo react ntawaambia wanibatize hapohapo
 
Hiyo ndiyo upendeleo au double standard wa nchi za Magharibi na Umarekani, unaweza ukatukana au ukachora katuni za viongozi(Mitume) wa dini na ukawakashifu, inayofuatwa na mabilioni ya watu ulimwenguni kwa kisingizio cha free speach, lakini unaweza ukafungwa jela kwa kuuzungumzia vibaya uteketezwaji wa wa Waizraeli uliotokea nchi za Magharibi.

Self defeat is your own dispute! Katika habari hapo juu umeona jinsi wana usalama walivyo dhibiti hali hiyo, cha ajabu unakuja kulalamika tena hapa! Au ulitaka watuhumiwa wachinjwe kama nyie mnavyowafanyia wengine huko!
 
Tatizo wanaenda kuwabuguzi wengine , kwa nn wavamie mahali watu wanachora kisa katuni imeandikwa Muhammad
Wakati kuna akina Muhammad's wengi ,
Hawa sio wanachora katuni imeandikwa Mohamad bali wanaelezea na kuandika wazi hii katuni ya Mtume Mohamed(SAW).
 
The identities of Sunday¡¯s shooters have yet to be confirmed, but the SITE Intelligence Groupreported that an Islamic State (IS) fighter claimed on Twitter that the shooting was carried out by two pro-IS individuals.
In a series of tweets, a jihadist named as Abu Hussain AlBritani, which SITE said was British IS fighter Junaid Hussain, claimed that ¡°2 of our brothers just opened fire¡± at the Prophet Muhammad exhibition in Texas.
¡°They Thought They Was Safe In Texas From The Soldiers of The Islamic State,¡± added the tweet.
About 200 people were inside the event, said local police spokesman Joe Harn.
He said the first suspect was shot dead immediately, while the second was shot after reaching for his backpack.
Police said they suspect the gunmen¡¯s vehicle may contain an ¡°incendiary device¡± and a bomb squad was on the scene.
 
Kibonzo Hakieleweki tumieni lugha ya Kiswahili/Kiingereza ili kufikisha ujumbe kwa Wafuasi Jesus christ/ mtume mo'hd. Lakini Hii yote ya Kukashifiana Dini Itatusaidia nini WanaJF??.

Ebu tujikite kwenye issues za Kimsingi na maswara ya Kiimani tuachane nayo Wandugu wapendwa. Uhuru wa Kuabudu ndio iwe Kipaombele cha Kulinda Udugu na Ummoja wetu wa siku nyingi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom