Vibonzo vya mtume mohamadi mjini texas

Vibonzo vya mtume mohamadi mjini texas

Status
Not open for further replies.
dini rahisi ni ushoga big usiiache maana utakaa kuume kwa mungu

Dini nzuri hiyo RAHISI usiiache dogo, ukifa unaenda kukabidhiwa bikra 72 uzifaidi, na pia ruksa hata kuoa watoto wadogo!
 

Attachments

  • 1430745329149.jpg
    1430745329149.jpg
    38.9 KB · Views: 244
wakristo hasa wakizungu kuchokozeka sio rahisi kwani imani yao hawaichukilii serious.
ila mfano huku waje na picha hizo za yesu wawe wanafanya na semina na makongamano na pia maonyesha ya picha kama hizo hadharani.
kina ngwajima wasipo react ntawaambia wanibatize hapohapo
kubatizwa hakukusaidii kitu kwa kufuata matakwa yako kwani uwe umebatizwa usiwe umebatizwa hauupunguzii wala kuuongezea chochote ukristo upo kamili tokea kuumbwa kwa dunia hivyo wa ku pay attention ni wewe na roho yako kuliko kitafanyika nini wakati hao wanachora. pili unanishangaza kusema eti kikiletwa Tanzania wakristo wa Tanzania watareact kwani ni mara ngapi waislamu wamechoma makanisa na kuwauwa viongozi wa kikristo lakini wakristo wapo wametulia sasa itakuwa kwa hicho kikaratasi ndio wakane tabia yao????? wakristo wanaongozwa na hekima na roho ya upole na unyenyekevu usifikiri hawasikii wala kuona madhihaka yanayofanywa dhidi ya imani yao hapa Tanzania bali ROHO ni mmoja anaowaongoza wakristo wote wa ulaya pamoja na wa Tanzania. juzi kanyewest ameibadili Bible nzima na kuondoa jina Mungu na kuliweka lake lakini umesikia hata mkristo mmoja akireact???? hata beyonce amefanya hivyo lakini hakuna chochote bali tunafanya maombi sababu tunajua roho inayomtawala ni ya shetani na shetani hashambuliwi kwa nguvu za kimwili.
 
Charlie-Hebdo-cartoon3.jpg
.
jamaa bana,eti huyo wa mbele ni mungu,halafu wa nyuma yesu(cheki alama za misumali miguuni na mikononi,kisha taji).
halafu kwenye masabuli ya yesu kuna pembetatu ya freemasoni.
jamaa watata
...kama wenzetu wangekuwa wamechorwa hivi wangelipua France yote... Sisi wakristo tumemwachia mungu anaetoa hukumu
 
They haven't officially released the names of the suspects but FBI was investigating one for terrorism? Elton Simpson? Not sure if that's the correct name. Will check more into it.
 
How would a Jewish initiated "Let's derogatorily draw Jesus"hate rally"exhibit" go down in the heart of Texas?
 
Imeandikwa kuweni WAKALI KWA MAKAFIRI.Nando kinafanyika.Tuwe ubwabwa kama nyie ambao biblia imesema asiwepo mwanamke kiongozi wa dini,lkn Ndo kwanza mnajazana wawaombee(mama lwakatare).Usodoma na ugomora umejazana makanisani mpaka ndoa mnafunga afu mnajifanya mmeelimika na ustaarabu kumbe bure.Kwa matendo yenu haya...bora mnyama mbele ya mungu kuliko nyie.


Kwa mujibu wa dini yako ,je, ni dhambi gani kubwa kuliko zote?
Na je ,umeacha dhambi ili uweze kuwahukumu wenzako?
 
wakristo hasa wakizungu kuchokozeka sio rahisi kwani imani yao hawaichukilii serious.
ila mfano huku waje na picha hizo za yesu wawe wanafanya na semina na makongamano na pia maonyesha ya picha kama hizo hadharani.
kina ngwajima wasipo react ntawaambia wanibatize hapohapo
Nimekufuatilia toka ulivyoweka hii kitu yako.
unaonekana kama umekalia kitu chenye ncha kali.
 
wakristo hasa wakizungu kuchokozeka sio rahisi kwani imani yao hawaichukilii serious.
ila mfano huku waje na picha hizo za yesu wawe wanafanya na semina na makongamano na pia maonyesha ya picha kama hizo hadharani.
kina ngwajima wasipo react ntawaambia wanibatize hapohapo

Kumbe wewe kubatizwa kwako kunategemea reaction ya gwajimaa??
 
one has been ID and yes it appears he was a U.S. citizen, he also has been convicted was placed on probation for lying to the FBI for trying to go and join a terror group in africa. his roommate is believed to be the second gunman.
Simpson was well known to the FBI. Five years ago he was convicted for lying to federal agents about his plans to travel to Africa, but a judge ruled the government did not adequately prove he was going to join a terror group there
 
Nimekufuatilia toka ulivyoweka hii kitu yako.
unaonekana kama umekalia kitu chenye ncha kali.

naona umenichukia sana,mie siye niliyochora jamani,mtanichukia bure.halafu mnajifanya eti,aah sisi huwa hatuchukii,kumbe mioyoni mnatamani kunitwanga masasi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom