Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,874
- 37,653
Nasema achorwe tu maana hakuna namna nyingine.
Hahaaa yaani nimecheka
Nasema achorwe tu maana hakuna namna nyingine.
Tatizo wanaenda kuwabuguzi wengine , kwa nn wavamie mahali watu wanachora kisa katuni imeandikwa Muhammad
Wakati kuna akina Muhammad's wengi ,
Duh sasa hii ndio nini! mtu akichora mtume kabang anauliwa. ukikataa dini yao kabang unauliwa. sasa huyu mtume anayetetewa kwa kuuwa watu anapeleka watu ahera au kuzimuni. naamini hao wauaji wamepotoka sio mafundisho ya dini yao
kuna uhuru wa habari wewe,hii kitu mbona iko tu magazetini.halafu kama dhambi si ni yangu.atakaechomwa moto si ni mimi bana,kinakuuma nini?
Kuna mkina Muhammad's wengi duniani , wegine ni walevi , vibaka ,wazinzi , na wengine ni Mashoga kama unti Mudi
Sasa wanauhakika gani kama anechorwa ni huyo Mudi wa kwenywe kitabu vha Hadith
utakua hujaziona picha za hawa jamaa (i mean cartoon)
wakristo hasa wakizungu kuchokozeka sio rahisi kwani imani yao hawaichukilii serious.
ila mfano huku waje na picha hizo za yesu wawe wanafanya na semina na makongamano na pia maonyesha ya picha kama hizo hadharani.
kina ngwajima wasipo react ntawaambia wanibatize hapohapo
Nasema achorwe tu maana hakuna namna nyingine.
Dini zingine bana wanauakika gani kama hiyo nikatuni ya Bwana Muhammad wakati hakuna anemjua
Muhamadi kwa Picha ,kweli hii dini wanaulemavu waakili
Mungu aliejuu ni Mungu mwenye nguvu hujitetea mwenyewe. Achana na miungu inayopiganiwa na watu.....