Vibamia vimetokea wapi, mbona havikuwa maarufu siku za nyuma?

Kibamia ni relative term.

Kuna sehemu mwenye kibamia anaweza kuonekana mandingo, na kuna baadhi ya sehemu mandingo anaweza kuonekana kibamia.

Mambo yamevurugika mno, kuna madude ya ajabu ajabu wazungu wameleta mara dildo, mara kuongeza uume mara midawa ya shepu, haya yote yanabadilisha uasilia wa sehemu zetu za siri na mwisho wa siku unaonekana kuna tofauti kubwa.
 
Vibamia vimeibuka baada ya wanawake kupata uhuru wa kuongea,zamani vilikuwepo kama kawa ila wanawake hawakuwa na uhuru wa kuongea!!
 
Mwanamke siku hizi anajiamini, kakombolewa, ana uhuru wa kusema chochote ali mradi asivunje sheria tu...
Ila tujiulize haya mabwawa nayo yametoka wapi mbona hayakuwa maarufu siku za nyuma?!
images.jpg
 
Kwanza kwa uelewa wangu naona mwanamke anaesimanga vibamia kama ananyoosha kidole kimoja kwa adui wakati vinne vimemgeukia, maana huyo huyo kabla hajabikiriwa hata kidole kupita alihisi maumivu makali sasa shida sio kwa mwanaume shida ni wanawake sio wanaume

Utandawazi nao na Hii hali sawa inaleta shida kwanza zamani kumsema mwanaume hadharani isingewezekana ilibaki kuwa siri km hakufurahishwa au kuridhishwa ilikuwa siri yake

Wanawake tunajiachia sana kubadili badili mitwangio mpk uke unalegea na mazoezi ya kegel hawafanyi kazi kula kula na kudanga

Story za vijiweni eti kubwa tamu anaesema kubwa tamu ndudu yake ishalegea basi nawe unaenda kutafuta kubwa kumbe unaenda kujiharibu tu

Bamia tamu na ikipikwa vizuri ni tamu kuzidi nyama ntakufa nikitetea vibamia jisikieni amani na raha jikubalini tupo tunaovipenda nina watoto lakini bamia natumia kila siku hakuna kuelea wala kuogelea

Ila kuna wale wenye nukta kiukweli hao nao ni km walemavu poleni sana

Talent boy come this way
 
maadili yamekwisha siku hizi, hapo kale vilikuwepo Ila mama zetu walikuwa wanaficha siri za ndani
 
aisee,nimefarijika kwa kweli nazani hata wale wa timu yangu watakuwa wamefarijika baada ya kusoma hii post yako.

Ila hapo kwenye ulemavu wa kinukta nimecheka sanaa,maana nimejaribu kuimagine hlf nikamuonea huruma sana mwenye hicho kinukta,nahisi ukiwa na ulemavu wa hivi utakuwa unatamani hata kujiua.

am happy na Kibamia changu mujarabu midhali wapo kina kapeace wanaofurahishwa na vibamia nunda...hahahaaaa!
 
Wazazi wetu niseme mama zetu hawakuwahi kuhoji kuhusu hili walikuwa wasiri na huwezijua kama baba alikuwa na kibamia na maisha yalikuwa vizuri sasa wasichana wa digitali leo hii ndio wameanzisha hizi story nafikiri maumbile yao yamekuwa tofauti sana
 
aisee,nimefarijika kwa kweli nazani hata wale wa timu yangu watakuwa wamefarijika baada ya kusoma hii post yako.

Ila hapo kwenye ulemavu wa kinukta nimecheka sanaa,maana nimejaribu kuimagine hlf nikamuonea huruma sana mwenye hicho kinukta,nahisi ukiwa na ulemavu wa hivi utakuwa unatamani hata kujiua.

am happy na Kibamia changu mujarabu midhali wapo kina kapeace wanaofurahishwa na vibamia nunda...hahahaaaa!
Utamu wa bamia kwangu mimi hauelezeki hapa siwezi kuandika mada itafutwa Hii lkn tembeeni kifua mbele wake zenu wakitoka leba wasisitizeni kegel exercise Mara kwa Mara na hasa wakati wa kukojoa mkojo wa haja ndogo mtafurahiana mpk kesho

Vinukta Vipo aisee hata bikira hakiwezi kutoa hawa nawapa pole sana vidogoo na kiwe kimelegea duh poleni tena
 
Hicho hapo?
 
Attachments

  • david_by_michelangelo_jbu10.jpg
    david_by_michelangelo_jbu10.jpg
    41.2 KB · Views: 52
Back
Top Bottom