Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,740
- 3,548
Mbona nyie sikuhiz mnapenda sijui ndio chura, mbona masuala ya chura hayakuwepo huko nyuma. Sasa mnapenda vyura, alfu viumbile vidogo unatarajia nn.. Kuitwa kibamia hakuepukiki.
hahaWanaume Tusife na tujipe moyo hili nalo litapita.
Siyo Vibamia .tatizo muna mizigo ya HatariPoleni na vibamia yenu
Kweli kaka.na Juiongeze zaidi Hiyo sehemu anatoka Mtoto Wa kilo 5,wewe unawezaje kumlizisha.Tuvumiliane TuVifanyio aka dildo.
Chukulia lulu alianza kufanya matusi akiwa na umri gani kwanza afu iwe benchmark yako.
Tafuta bikra. Hawa used watakwambia ishu za kibamba.Jamani me nna nch4 tu,wasichana warembo kbao huwa wananishobokea lakn naogopa kusex nao nkihofia aibu ya kuchekwa,roho inaniuma sana. Yeyote atakaenishauri na kunipa moyo ntashukuru
Upo sahihi kabisaOfcourse ni fact kua wanaume tunatofautiana maumbile ya uume kama ilivyo kwa wanawake.
Zamani hii tofauti haikua noticeable sana maana wanawake wengi walikua wanakua na mwanaume mmoja au ikitokea wawili hadi watatu katika maisha yao.
Sasa wanawake wanaweza wanatoka na wanaume wengi katika maisha yao hvyo inakua ni rahisi kugundua tofauti ya maumbile ya wanaume.
Ni jambo ambalo pia wanawake wamegundua kua wanaume hua hatupendi kulinganishwa kiwango cha urefu wa nyuume zetu, hvyo wanalitumia kama kuumiza hisia zetu.
Ni sisi wanaume kutokuliona kama ni jambo kubwa hvyo kuwanyima nafasi na waone kua hatushtushwi na hlo jambo. Ila kwa kua wanawake wamegundua kua sisi ni emotionally weak tukilinganishwa, basi hutumia hiyo nafasi.
Ni jambo la kupuuzwa na likakosa nafasi ila tumelipa wenyewe uzito.