Vibamia vimetokea wapi, mbona havikuwa maarufu siku za nyuma?

Vibamia vimetokea wapi, mbona havikuwa maarufu siku za nyuma?

Mi nahis ni kukua kwa technology ya h abari na mawasiliano watu wameweza kufunguka ni sawa na mambo ya ushoga mwanzoni mi nilijua hayakuwepo na Hilo neno nimekuja kujua maana yake sina z aidi ya miaka miwili yalikuwepo sema kwa siri kubwa isingekuwa rahisi kufahamu ila siku hiz I'd fake zinatupa confidence
 
Habari wanajamii forum kila nikiwaza sipati jibu mbona neno hili Vibamia au kibamia limekuwa maarufu zaid zama hizi??? Hii inaashiria nini katika jamii ya kileo???

Sikuwahi kusikia mwanamke akimsema mwanaume kuwa na uume mdogo katika maisha yangu yote lakini miaka hii mitatu mambo yamebadilika kabisa najiuliza je wanaume maumbile yetu yanazidi kusinyaa kila siku??? Au wanawake wa siku hizi huwa na uchi mkubwa????

Nawaza tu je wanawake wa siku hizi wamekubuu?? Au nini sasa. Nawaza tena au walikuwa wanatuhurumia tu kutoa siri sasa siku hizi hawana siri tena???

Nawaza tu kama kweli wanaume maumbile yanakuwa madogo tatizo kubwa ni nini??? Tutajisaidiaje na hili Janga???

Kwanini miaka hii wanawake wengi huonekana hupenda mwanaume mwenye uume mkubwa????? Mimi sina majibu karibu wadau tusaidiane kutafuta majibu kwa faida yetu sote
Tatizo ni chips yai, vitambi na minyama kuongezeka.
 
Kwanza kwa uelewa wangu naona mwanamke anaesimanga vibamia kama ananyoosha kidole kimoja kwa adui wakati vinne vimemgeukia, maana huyo huyo kabla hajabikiriwa hata kidole kupita alihisi maumivu makali sasa shida sio kwa mwanaume shida ni wanawake sio wanaume

Utandawazi nao na Hii hali sawa inaleta shida kwanza zamani kumsema mwanaume hadharani isingewezekana ilibaki kuwa siri km hakufurahishwa au kuridhishwa ilikuwa siri yake

Wanawake tunajiachia sana kubadili badili mitwangio mpk uke unalegea na mazoezi ya kegel hawafanyi kazi kula kula na kudanga

Story za vijiweni eti kubwa tamu anaesema kubwa tamu ndudu yake ishalegea basi nawe unaenda kutafuta kubwa kumbe unaenda kujiharibu tu

Bamia tamu na ikipikwa vizuri ni tamu kuzidi nyama ntakufa nikitetea vibamia jisikieni amani na raha jikubalini tupo tunaovipenda nina watoto lakini bamia natumia kila siku hakuna kuelea wala kuogelea

Ila kuna wale wenye nukta kiukweli hao nao ni km walemavu poleni sana


Talent boy come this way
[emoji1] mtetezi wa team vibamia, uko sahihi mrembo.
 
Hongera sana natamani wanawake wote ya chumbani muwe mnaacha chumbani, mnatupa stress sana matokeo yake mwanaume mzima unaanza kuhangaika na tape kupima dushe utafikiri unataka kuishonea kinguo chake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti! Unaangaika na tape measure...
 
dawa yao tutafute jina la kuwatania na wao ili wakose aman
 
Natanguliza kusema, "may our thoughts and prayers be with those who suffer from this shit!"

Anyways, kwa nini uteseke?
Kama upo hivyo, ndo hivyo ulivyo. Hamna namna.

Mi nasema, piga mashine!
Piga mashine.
Hivyo hivyo tu. Maana ukijibana uta-enjoy lini?

Kama haridhiki, basi, sio kosa lako. Lakini isikuzuie ku-enjoy this sacred ritual.

Piga kaazi!
 
Back
Top Bottom