Vibamia vimetokea wapi, mbona havikuwa maarufu siku za nyuma?

Vibamia vimetokea wapi, mbona havikuwa maarufu siku za nyuma?

Bernard bakari

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2016
Posts
407
Reaction score
781
Habari wanajamii forum kila nikiwaza sipati jibu mbona neno hili Vibamia au kibamia limekuwa maarufu zaid zama hizi??? Hii inaashiria nini katika jamii ya kileo???

Sikuwahi kusikia mwanamke akimsema mwanaume kuwa na uume mdogo katika maisha yangu yote lakini miaka hii mitatu mambo yamebadilika kabisa najiuliza je wanaume maumbile yetu yanazidi kusinyaa kila siku??? Au wanawake wa siku hizi huwa na uchi mkubwa????

Nawaza tu je wanawake wa siku hizi wamekubuu?? Au nini sasa. Nawaza tena au walikuwa wanatuhurumia tu kutoa siri sasa siku hizi hawana siri tena???

Nawaza tu kama kweli wanaume maumbile yanakuwa madogo tatizo kubwa ni nini??? Tutajisaidiaje na hili Janga???

Kwanini miaka hii wanawake wengi huonekana hupenda mwanaume mwenye uume mkubwa????? Mimi sina majibu karibu wadau tusaidiane kutafuta majibu kwa faida yetu sote
 
Ni ujinga wa utandawazi tu...na wanawake kuliwa na kila mtu.

Mungu alipokataza zinaa kabla ya ndoa alikuwa na hekma kubwa sana, ila kwa kuwa wanadamu ni wakaidi ndo tumefikia hapa tulipo leo.

Mambo haya hayakuwepo kabla,na mwanake alikuwa hawazi kabisa kuhusu uume wa mwanaume pale anapokutana nae,na alikuwa anaridhika kabisa haijalishi amekutana na kibamia au hogo.

Ila kikubwa ni kujikubali na kujiamini tu ulivyo,maisha yanasonga.

cc kapeace njoo vibamia vinazungumzwa tena huku!
 
Habari wanajamii forum kila nikiwaza sipati jibu mbona neno hili Vibamia au kibamia limekuwa maarufu zaid zama hizi??? Hii inaashiria nini katika jamii ya kileo???

Sikuwahi kusikia mwanamke akimsema mwanaume kuwa na uume mdogo katika maisha yangu yote lakini miaka hii mitatu mambo yamebadilika kabisa najiuliza je wanaume maumbile yetu yanazidi kusinyaa kila siku??? Au wanawake wa siku hizi huwa na uchi mkubwa????

Nawaza tu je wanawake wa siku hizi wamekubuu?? Au nini sasa. Nawaza tena au walikuwa wanatuhurumia tu kutoa siri sasa siku hizi hawana siri tena???

Nawaza tu kama kweli wanaume maumbile yanakuwa madogo tatizo kubwa ni nini??? Tutajisaidiaje na hili Janga???

Kwanini miaka hii wanawake wengi huonekana hupenda mwanaume mwenye uume mkubwa????? Mimi sina majibu karibu wadau tusaidiane kutafuta majibu kwa faida yetu sote
d2b2c42f501be94b9c43112dd7e3d6e2.jpg
kuna hiki cku hz kinaitwa kinyanya na chenyewe kinakera kweli wapenzi wetu maana hakikuni km tango
 
Ofcourse ni fact kua wanaume tunatofautiana maumbile ya uume kama ilivyo kwa wanawake.

Zamani hii tofauti haikua noticeable sana maana wanawake wengi walikua wanakua na mwanaume mmoja au ikitokea wawili hadi watatu katika maisha yao.

Sasa wanawake wanaweza wanatoka na wanaume wengi katika maisha yao hvyo inakua ni rahisi kugundua tofauti ya maumbile ya wanaume.

Ni jambo ambalo pia wanawake wamegundua kua wanaume hua hatupendi kulinganishwa kiwango cha urefu wa nyuume zetu, hvyo wanalitumia kama kuumiza hisia zetu.

Ni sisi wanaume kutokuliona kama ni jambo kubwa hvyo kuwanyima nafasi na waone kua hatushtushwi na hlo jambo. Ila kwa kua wanawake wamegundua kua sisi ni emotionally weak tukilinganishwa, basi hutumia hiyo nafasi.

Ni jambo la kupuuzwa na likakosa nafasi ila tumelipa wenyewe uzito.
 
Siku hizi kuna wimbi la k mabwawa au visima vijana wa siku hizi na wenyewe wanalalamika wanawake wanamiliki visima boooonge la k
 
Wakuu me nina inches 5.3 je nacho ni kibamia au? Nawasilisha
 
Back
Top Bottom