Vibamia vimetokea wapi, mbona havikuwa maarufu siku za nyuma?

Vibamia vimetokea wapi, mbona havikuwa maarufu siku za nyuma?

K kubwa sana za cku izi afu wanatanua sana mapaja daily
 
Hongera sana natamani wanawake wote ya chumbani muwe mnaacha chumbani, mnatupa stress sana matokeo yake mwanaume mzima unaanza kuhangaika na tape kupima dushe utafikiri unataka kuishonea kinguo chake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti unahangaika na tape kama fundi nguo, nimecheka sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari wanajamii forum kila nikiwaza sipati jibu mbona neno hili Vibamia au kibamia limekuwa maarufu zaid zama hizi??? Hii inaashiria nini katika jamii ya kileo???

Sikuwahi kusikia mwanamke akimsema mwanaume kuwa na uume mdogo katika maisha yangu yote lakini miaka hii mitatu mambo yamebadilika kabisa najiuliza je wanaume maumbile yetu yanazidi kusinyaa kila siku??? Au wanawake wa siku hizi huwa na uchi mkubwa????

Nawaza tu je wanawake wa siku hizi wamekubuu?? Au nini sasa. Nawaza tena au walikuwa wanatuhurumia tu kutoa siri sasa siku hizi hawana siri tena???

Nawaza tu kama kweli wanaume maumbile yanakuwa madogo tatizo kubwa ni nini??? Tutajisaidiaje na hili Janga???

Kwanini miaka hii wanawake wengi huonekana hupenda mwanaume mwenye uume mkubwa????? Mimi sina majibu karibu wadau tusaidiane kutafuta majibu kwa faida yetu sote
Hapo zamani za kale..... kulikua hakuna JF..... Insta...... Whatsup nakadhalika. Radio pekee ilikua RTD. Ambapokipindi cha jumatatu ijayo kilitayarishwa na kumalizika jumatatu hii. Kutoka hapo mpaka hiyo siku ni kuhakikisha hakina maneno makali.
Sasa unaanzaje kuongelea vibamia?
 
Kuporomoka kwa maadili ndugu zamani hayo yalikuwa mambo ya chumbani siku hizi mhhh
 
Rambo ya mwanamke huja kwa mtiririko huu

Bamia
Karoti
Ndizi Kisukari
Ndizi Mzuzu
TANGO



Bamia ikirudi tena hapo lazima uitwe kibamia. Kikubwa watulizane sio leo hii kesho ile
 
dem anagongwa na wanaume kumi kwa wiki, kwann yule mwenye uume mdogo asionekane ana kibamia?
 
Aisee hii issue kumbe ni kubwa kuliko nikivyokuwa nafikiria.
Ni hivi karibuni kuna kamchepuko kamemsimulia dada yake jinsi ninavyompa hogo la haja la kang'ombe, hamadi dada mtu yaani shemeji kanivaa akidai na yeye anataka eti ni adimu.
Hapa niko njia panda nikamue au niache,dada mwenyewe kajaliwa mzigo kama anayoisema shehe kipoozeo.
 
Back
Top Bottom