Viatu vya mchuchumio vinavyowatesa wanawake…..!

Viatu vya mchuchumio vinavyowatesa wanawake…..!

Mtambuzi hahahahaaaa umeniandikia mimi au yule dadako pale nje siku ileeeeeeeeeeee..........
Unajua unakosea kusema kama bata....bata ndo kaumbwa hivyo ana matege yake namove kwa maringo! Hali kadhalika wanyama wengineo!

Cha msingi ni uwezo wa kuvitembelea! kama uko comfy unaweza kutimba navyo daily ofisini poa tu!!!

Ila kuna issue ya kuumwa mgongo na viuno huko mbele............ngoja watafiti watifue
Paloma bana...!
Kumbe uliona eh, mwenzako baada ya kumuona binti anavyoyumba na mchuchumio siku zile nikajiuliza maswali mengi sana, na ndio nikapata wazo la kuweka huu uzi......
 
Last edited by a moderator:
hahhahhahahaaaaaa...............kama mlevi vile...

Paloma bana...!
Kumbe uliona eh, mwenzako baada ya kumuona binti anavyoyumba na mchuchumio siku zile nikajiuliza maswali mengi sana, na ndio nikapata wazo la kuweka huu uzi......
 
ni kweli inachekesha aisee. Kuna siku nilisafiri na dada mmoja, wakati tunaenda kupanda ndege nikajua ni mlemavu. Nikatamani kumsadia but didnt for security reasons. Wakati tunashuka ndo nikagundua kumbe ni viatu. Alikuwa na bag kubwa lisilo na matairi na hakulicheck in. Nilimshangaa kimoyomoyo.

Kitu muhimu ni kuhakikisha viatu vinakupa support ya kutosha. Kama siwezi kutembelea kwa madaha (kama mama), na kwa haraka (i walk very fast hata kama sina haraka) basi viatu hivyo siviwezi. But high heels are so sexy kwa kweli, manake vinabadilisha hata mirindimo.

Ni muhimu pia kuvaa viatu kutegemeana na occassion. Mfano, kuvaa very high heels ofisini, ni kujiadhibu. Ndio unakuta ofisi nzima kila mdada kavaa vindala vya kimasai. Saa ya kutoka ndo anavaa viatu. Muda wote unakuwa kwenye gari hata hufurahii viatu. Ni muhimu kuwa na height tofauti kwa occassions tofauti.
Japo sio rahisi sana kuitwa mwanamke, lol. Mata ujitoboe macho na mascara, mmmppphheewww!

sio ofisi zote wanakubali kuvaa VINDALA ............. hata hivyo ofisi nyingine mtu hutembei sana ....
 
HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEH! mlongo wangu!

Nikuwoni dada! (mbona mlinifundisha neno moja tu jameni lol)

KABISAAAAA . . . . .
Ashukuriwe mchina maana katuletea visandals vizuri vizuri viiiiiiiiiiiiingi!
 
Mtambuzi zamani nilikuwa mteja sana wa Hivi viatu ..Nakumbuka siku moja nilidondoka na kiatu mguu ukaumia
Ilikuwa Party pia kumbe aridhi ile ukikanyaga kiatu kinaingia kwenye udongo
Sitasahau kisigino cha kiatu kilikatika sikumbuki ilitokeaje
Sasa nimepunguza kuvaa viatu virefu..

Hiki unatembea nacho aje?

high_heel.jpg

Walau hapo ulipoishia wekundu ndo naweza kuvaa!
Kinyume cha hapo nageuka spoku zilizopinda!
Tena niwe na mkongojo wa kunipa balance. . . . . lol!!!!
 
Mimi wakati mwingine huw anacheka sana huko barabarani, ukiwaona dada zetu kwenye mitoko jinsi wanavyotembea utadhani bata...
Yaani mpaka unajiuliza, 'kavalishwa...!'

Najua ni mambo ya fasion, lakini fasion si kuvaa tu, bali pia na kumiliki kile unachokivaa sio kikumiliki wewe..........!
hahahhahaah! Yaani Mtambuzi umenifanya nicheke sana,halafu inaonyesha huwa unatuchunguza sana wanawake haya bwana
ila ni kweli sometimes inakuwa kichekesho mbele ya watu na kuvua hawezi maana anaogopa kuchekwa kwa hiyo inabidi avumilie maumivu hayo mpk apande gari au aingie ofisini.

MM huwa navipenda sana ila navaa kwenye Occation ambayo hainihusu, au Sitazunguka sana, lakini kama Harusi inanihusu huwa navaa bajaji au viatu ambavyo si virefu.
 
sasa rafiki mchuchumio kwenye treni unafanya nini tena? lol!
mimi huwa nashangaa wadada wanaosafiri na michuchumio, yaani natamani kuwaamkia, lol!
hivyo viatu vinapendeza sana ila sheshe lake nalo si mchezo
Nikukumbushe tafadhali sio tren kama anaenda mbali hapana hapo anaenda kwa job,Treni ya Mwamkyembe atii
 
Nikuwoni dada! (mbona mlinifundisha neno moja tu jameni lol)

KABISAAAAA . . . . .
Ashukuriwe mchina maana katuletea visandals vizuri vizuri viiiiiiiiiiiiingi!

tena vina maua mengi kama nini!ukitaka chuichui purple,red,njano vipo kibao wewe tu!
kuhusu chingoni wengo we kaa kweny anga za dada mkubwa FP ,yani ni mkareeeee yule wacha kabisa!
 
Last edited by a moderator:
tena vina maua mengi kama nini!ukitaka chuichui purple,red,njano vipo kibao wewe tu!
kuhusu chingoni wengo we kaa kweny anga za dada mkubwa FP ,yani ni mkareeeee yule wacha kabisa!
FP nae mtoro sana siku hizi!
Tangu hiyo honey moon basi dunia anaiona kama vile yupo yeye tu mumewe! lol
 
ha haaaaaaaaaa, niwawene wengo na mlongo wangu Kipipi mwijova wuli hapa? pendeza sana na flat siyo?
 
Last edited by a moderator:
FP nae mtoro sana siku hizi!
Tangu hiyo honey moon basi dunia anaiona kama vile yupo yeye tu mumewe! lol
mlongo wangu nimesikiliza maneno ya rafiki yangu BAK anasema ukishikwa shikamana, sasa na mimi nimeamua kushikamana wengo......... nisije nikaanguka bure, lol!
za magono mlongo wangu
 
Last edited by a moderator:
ah kwani we hujui uteja mlongo wetu!
wenzio tunakimbia rehab ujue?hatutaki arosto milele oh!ila mi nipo pande ambazo dozi yangu haipatikani!inabidi niwe mpole tu!
ha haaaaaaaaa, chezeya uteja weye, lol! tumeshikamana mwenzangu, na huyo mlongo wetu Kipipi aje ashikamane au hajapata bado teja?
 
Last edited by a moderator:
mlongo wangu nimesikiliza maneno ya rafiki yangu BAK anasema ukishikwa shikamana, sasa na mimi nimeamua kushikamana wengo......... nisije nikaanguka bure, lol!
za magono mlongo wangu

Haya bana ila uwe unatuma hata sms basi!

Nzuri tu ndugu yangu, hamjambo huko kwenu?
 
Nikuwoni dada! (mbona mlinifundisha neno moja tu jameni lol)

KABISAAAAA . . . . .
Ashukuriwe mchina maana katuletea visandals vizuri vizuri viiiiiiiiiiiiingi!

shost mi ofisini nina pair kama 3 hivi... vya kimasai yan flat kabisa... flay vya kudumbukiza... virefu sana... virefu vya kawaida ndo huwa natoka navyo home. Nikifika navua navaa flat either ya kudumbukiza kama nitakuwa nimevaa suruari.. au navaa vya kimasai ya open kama nimepiga kimini lolest!!!!! kama natoka nje ya ofisi bila kutumia gari navaa virefu kiasi na kama natumia gari navaa virefu... Dah mpaka nimekuwa mtumwa wa viatu!!!
 
Back
Top Bottom